TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

Kinachochekesha zaidi katika siasa za Tanzania utashangaa aliyekuwa Anaichunguza Chadema, wiki mbili zijazo na yeye anachukua fomu ya kugombea ubunge kupitia CCM. Teh teh teh teh.
 
Wana Sacco's wanaweweseka wanaogopa Nini Kama ni wasafi?
 
Mkuu ni 2.7 trillions, CAG Assad aliibua upotevu wa 1.5 trillions na CAG Kichere kaibua upotevu wa 1.2 trillions. Dikteta na Bunge DHAIFU KIMYAAAA!

TAKUKURU POLITICAL PARTY:
Nimecheka sana baada ya Takukuru kuiomba chadema nyaraka za vikao na mikakati yake,Sasa ni rasm Takukuru imekuwa tawi LA ccm nchi hii tunasafari sana kutafuta Uhuru wa kweli,Badala ikague upotevu was 1.5 trillion alizoibua CAG,Wanaomba mikakati ya chadema

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo cha mkurugenzi Wa takukuru kumshabikia magu kwamba achaguliwe tena, inaonyesha takukuru wanafanya kazi kisiasa.uchunguzi Wa msingi ulikuwa ni matumizi ya pesa, wamerukia kwingine.hii taasisi imepoteza mwelekeo
 
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.

Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.

Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.

Hii taasisi imegeuka kuwa jumuia muhimu sana ya CCM!
Imeungana na jumuia zingine Polisi na TISS
 
Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika.

Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi ulivyo.

Kadhalika amesisitiza kuwa mwisho wa uchunguzi mmoja inaweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine kulingana na kile kinachochunguzwa na yale yaliyobainishwa katika uchunguzi wa kwanza.

Hii Sheria ya Takukuru haitumiki kwa zile bilion 12 alipiga Ndungai akiwa India peke yake?
 
TAKUKURU POLITICAL PARTY:
Nimecheka sana baada ya Takukuru kuiomba chadema nyaraka za vikao na mikakati yake,Sasa ni rasm Takukuru imekuwa tawi LA ccm nchi hii tunasafari sana kutafuta Uhuru wa kweli,Badala ikague upotevu was 1.5 trillion alizoibua CAG,Wanaomba mikakati ya chadema

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Takukuruccm wanatia Aibu mbinu zao za kufundushwa na CCM zipo wazi
 
Zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi Takukuru hawakuwa na hiyo Sheria?
 
Takukuru acheni siasa za maji taka,mnaombaje mipango na mikakati ya chadema,Takukuru hovyooooo kabisa

Sent from my itel A11 using JamiiForums mobile app
Takukuru kwenye zile trilion 1.5 mpaka CAG kutolea kafara hawatumii hizo Sheria kule? au Sheria zao ni kwa ajili ya chadema tu?
 
Takukuru chunguza uwanja wa chato ununuzi wa Ndege ukarabati wa Ndege kivuko cha Dsm Bagamoyo na ruzuku ya CCM inayotumika kuwanunua wabunge madiwani na wanachama wa upinzani
 
Tatizo chadema wanapiga hela wakidhani wanaishi kwenye space .wakiulizwa break ya kwanza ni kwenye mic .nchi imebadirika hii si kila kitu siasa. Zingekuwa siasa kandambili na shuka zingekamatwa?
Chadema ndiyo walikula trilion 1.5 kisha mkamtoa CAG kafara? Zile bilion 12 Ndungai kala na chadema? na zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi ni chadema walizipiga? Takukuru wamewahi kufika huko kote?
 
Takukuru tokea wampaishe mnyeti sina imani nao
 
Na Yule aliyekuwa mkuu wa Wilaya na akapewa ukuu wa mkoa, takukuru ilifanya nini licha ya ushahidi uliotolewa wa kuwepo rushwa kati yake na ccm wilayani mwake?
 
Tatizo chadema wanapiga hela wakidhani wanaishi kwenye space .wakiulizwa break ya kwanza ni kwenye mic .nchi imebadirika hii si kila kitu siasa. Zingekuwa siasa kandambili na shuka zingekamatwa?
Hela zimepigwa huko kuliko na hati ya mashaka ya CAG . Je takukuru wamenusa pua huko ?!. Hawawezi
 
Back
Top Bottom