LGE2024 TAKUKURU Manyara wavionya vyama vya Siasa dhidi ya rushwa, kuwaanika watakaobainika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 TAKUKURU Manyara wavionya vyama vya Siasa dhidi ya rushwa, kuwaanika watakaobainika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au kupokea rushwa wakati wa kampeini na uchaguzi ili kufahamu adhabu wanazozipata .

Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Hayo yamesemwa leo na viongozi wa vyama vya siasa kikiwemo chama cha mapinduzi(ccm), chama cha demokarasia na maendeleo (chadema) katika kikao kilichoandaliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru kwa leongo la kutoa elimu kwa vyama vya siasa juu ya vitu vya kuzingatia kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Kwa upande wake mkuu wa Takukuru mkoa wa manyara Bahati Haule, amewataka viongozi wa vyama vya sisasa mkoani hapa kutojishughulisha na vitendo vya rushwa kabla, wakati na baada ya uchaguzi.
1732260646447.png
 
Back
Top Bottom