fantastic philip
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 195
- 688
Sio kweli.... na wewe unatumia ubongo wako kuamini hilo kabisa... uuze hotel kwa 3b kulipa deni la 300m ....hakuna taasisi ya kifedha ambayo ingeshindwa kumpa mtu 300m mwenye Collateral ya 6b... acheni kuwa wajinga wajinga wakati mnaakili timamu.
Sema unaripoti kutoka gambusi, rubambangwe, kule kwenye jengo alilojengewa mkuu wa wilaya Aishi,ikashundikana, ikashindikana kwa sababu kule ni kambi ya wachawi, baadhi akina Dauda Mpaka walishakufaNaunga mkono Mpina awajibishwe. Na wakimmaliza Mpina, wamfuate Ridhiwani aliyebatilisha hati ya umiliki wa ardhi kumpa GSM ndani ya masaa 24 tangu aapishwe kuwa Naibu Waziri. Hapa napo kuna harufu ya rushwa kali sana!
Naripoti kutoka Rubambangwe karibu na Hifadhi ya Taifa maarufu sana nchini Tanzania ya BURIGI - CHATO!
Musukuma ni raia mwemaMsukuma alikuwa wapi? Ushujaa wa kijinga, unamlinda mtu, ukikosana nae uanze kusema madhaifu yake. Mie nashauri wa kwanza kuhojiwa na takukuru ni Dr Msukuma kwa kukalia taarifa, alikalia taarifa kwa maslahi ya nani. Ukimchunguza Msukuma anamambo ya kijinga, ilitokea kwa Lowassa, mtu amekuamini baadae kama jasusi unapeleka habari nje kwa kujipendekeza, ni ujinga!
Wakati Mbunge Msukuma akilishadadia la Mwenzake ( tena mwana CCM ) je, na Yeye yuko tayari Wapiga Kura wa Jimboni mwake waelezee jinsi alivyowapa Rushwa ili wamchague kuwa Mbunge katika Uchaguzi Mkuu uliokuwa wa Kibabe na wa Kimizengwe wa mwaka 2020?Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uuvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina TAKUKURU, hivi hili halitoshi kumuhoji na kumpeleka Mahakamani ili ikakate kiu ya haki ya wavuvi hawa?
Musukuma alishinda kihalali, ni mbunge maarufu na anapendwa sana na Wana GeitaWakati Mbunge Msukuma akilishadadia la Mwenzake ( tena mwana CCM ) je, na Yeye yuko tayari Wapiga Kura wa Jimboni mwake waelezee jinsi alivyowapa Rushwa ili wamchague kuwa Mbunge katika Uchaguzi Mkuu uliokuwa wa Kibabe na wa Kimizengwe wa mwaka 2020?
Hiyo task force yao ilimchomea moto boti yake Rafiki yangu mmoja,Mpina akiwa Waziri aliwatesa sana watu wa kanda ya Ziwa.
Namkumbuka jamaa wa Mwanza aliyelazimika kuiuza hotel yake aliyoijenga kwa bilioni 6, akaiuza kwa bilioni 3 ili apate hela milioni 300 za kulipa kwa kile kilichotajwa faini ya uhujumu uchumi kwa vile kwenye underground floor ya hotel yake yalipatikana makokoro.
Baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya mwezi, akaona aheri awape hiyo hela ili awe huru.
Mpina kaumiza watu wengi sanasanaKaa
Fungal bakuli Mimi nimuhanga kama msukuma nawengine watu tumepigwa na mpina kwakazi halali asingiziwi in kweli ameumiza watu huyo mpina
Mali zako haziwezi kuwa dhamana ila unawez kuziuza? Akili gani jaman hizi na zinatoka wapi kipindi hiki.Ukishapata kesi ya uhujumu uchumi mali zako haziwez Kua dhamana tena
Aliuzaje mali hiyo ikiwa ilishikiliwa kwa uhujumu uchumi? Mbona unajichanganya unless useme kweli alihujumu na alichouza kilikuwa mafichoni.Ukishapata kesi ya uhujumu uchumi mali zako haziwez Kua dhamana tena
Huwa mnaandika akili zenu hazina late balanced story au hata machapisho mbalimbali?.Ccm bana, Upinzani haupo Bungeni Sasa Upinzani ni wao kwa wao! Magufuli ametuharbia Taifa sana.
Msukuma hanaga msimamo. Alimtosa Mzee Lowasa kwa kupewa vipande vya pesa na sasa kalambishwa asali na kina Makamba ili atetee uongozi uliopo madarakani kwa kudhani anakubalika kanda ya ziwa. Subirini 2025 mtajua hamjui. Mpina yuko sahihiMbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU hivi hili halitoshi kumuhoji na kumpeleka Mahakamani ili ikakate kiu ya haki ya wavuvi hawa?
Hakuna unafiki mnafiki niwewe rais alisema secta yauvuvi amechaguwa waziri kichaa kama yeye kwahali hiyo unamripoti wapi kichaa upate haki kwasasa uongozi wajuu na ccm yote pamoja naserekali yasasa kwanza watuombe radhi wavuvi pili waturudishie Mali zetu nafidia kwa kutuletea viongozi kichaa na kumteuwa kichaa asante utakuwa umeelewa kuhusu mpinaUlikuwa wapi, Msukuma na jiwe walikuwa karibu kwa nini akumripoti hatua ichukuliwe, mbona aliweza kumripoti mkurugenzi wa kahama, huyu alishindwa nini? Unafiki.
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU hivi hili halitoshi kumuhoji na kumpeleka Mahakamani ili ikakate kiu ya haki ya wavuvi hawa?
Unamtetea huyo muhalifuKwanini mnataka kumziba mdomo asiongee?
Kwani hiyo rushwa kala jana? Mbona hamkutoa taarifa Takukuru mnasubiri aongee ndio muone ni tishio kwa ugali wenu?
Mpina ongea usiache itatusaidia kujua wapi kuna tatizo, hata kama ulikuwa na madudu yako wakati ukiwa Waziri potelea mbali maana hawakusema maana yake ni waovu pia
Mpina akiwa Waziri aliwatesa sana watu wa kanda ya Ziwa.
Namkumbuka jamaa wa Mwanza aliyelazimika kuiuza hotel yake aliyoijenga kwa bilioni 6, akaiuza kwa bilioni 3 ili apate hela milioni 300 za kulipa kwa kile kilichotajwa faini ya uhujumu uchumi kwa vile kwenye underground floor ya hotel yake yalipatikana makokoro.
Baada ya kukaa mahabusu kwa zaidi ya mwezi, akaona aheri awape hiyo hela ili awe huru.
Sasa aliuzaje wakati ana kësi ya uhujumu uchumiUkishapata kesi ya uhujumu uchumi mali zako haziwez Kua dhamana tena