TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

Aliongozwa na chuki tu sio utaaalamu,ni mmoja kati ya majitu ya hovyo kabisa
 
inawezekana mwezi mmoja tu baadae ikawa zamu yako.

usimsifu mbio baba yako,ukasahau kwamba anakimbizwa
Kwaiyo nkusaidieje MATAGA?

Kipindi watu wanateseka mlikuwa mnafurahi tu.

Now kibao kimegeuka onjeni yaliyokuwa yanawafika wenzenu.
 
Kwaiyo nkusaidieje MATAGA?

Kipindi watu wanateseka mlikuwa mnafurahi tu.

Now kibao kimegeuka onjeni yaliyokuwa yanawafika wenzenu.
kuteseka na kula raha ni swala mtambuka,usikariri.

watu walikata tamaa kwenye umasikini wao,ni rahisi sana kufarijika kwa vitu vidogo vidogo,kama wewe mkuu.

yaani unaamini kuna mtu anapata tabu sasa hivi kwa sababu mama yuko agaist na magufuli[emoji16].
 
Endelea kujifariji.

Najua nyakati hizi ni ngumu sana kwenu.
 

Management bora ni ile jumuishi. Ndicho kinachoendelea TPA kwa sasa, uongozi uliopita ulikosa skills za kiuongozi.

Mradi wa Bagamoyo ni mpana sana na rais kasema tunaenda kujadiliana na hao wawekezaji hajasema kama tumeshakubaliana kipi kifanyike.
Wale

Kwa Kakoko nakushaur uache akiba ya maneno, namini alichokipata ndicho alichokua akistahili
 
Nimeona clip ya kakoko anaongelea mradi wa bandari ya bagamoyo, yule jamaa ni kichwa aisee......utumbuaji wake lazima utakuwa na makandokando.
 
Kwani Kakoko ni nyanyako?
 
You will be opening the Pandora box the day he is taken to court . Sidhani kuna watu wengi watapendezwa au kuamini box likifunguliwa. Kama yeye ni mzalendo ana uhuru wa kusema.
 
Mbona hakuelewa kuhusu magofu ya chato airport kama yatakuwa na manufaa kwa taifa.
Mradi wa bagamoyo Bandari ungekuwa ni Chato ungeshakamilika acheni wivu pwani nayo ipendeze.
 

Hayo ni mambo ya CCM, mtajua wenyewe
 
Katiba ya Sasa ilimkingia kifua! Laiti tungekuwa na katiba mpya unayoipinga 24/7 huenda usingeandika Uzi huu kwani majibu na mkataba wa ujenzi ungekwisha uona! Katiba mpya ni Sasa au siyo?
 
Kwa hiyo kilicho muondoa pale bandarini ni huo Mradi wa Bagamoyo, au ni ufisadi wake alio ufanya? Weka ushahidi basi badala tu ya kuwahukumu hao Takukuru kwa hoja nyepesi.

Halafu pia uache tabia yako ya kujibu wachangia mada jeuri! Sawa?
Kila siku nakusisitizia tumia common sense.
 
Mleta Thread Kaja Na Vitendea Kazi Kama:-
Omo,JIK,Foma Gold,Dettol Kumsafisha Kakoko
πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…