TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

Achaneni na mambo ya kipuuzi hayo, eti Mungu ametubariki kujua kusoma na kuandika na kudadavua mambo?!!ingekuwa kweli awamu ya tano ingewezaje kutufanya hadi tukaonekana kituko duniani!!huyo KAKOKO, licha ya yeye kuwa Mkurungezi pale bandari ufisadi uliisha?mala ngapi PM, alikuwa akienda pale bandarini anakuta madudu anaishia kuwafukuza wale waliokuwa chini ya mamlaka yake tu?!!na anatamka hao wengine sina mamlaka nao?!eti leo ndio anaonekana alikuwa na mawazo mazuri juu ya bandari ya bagamoyo?
 
Bado Mnaishi Jiwe era

Kishakufa yule
 
Chief Kakonko ana matatizo yake na Bagamoyo port ni issue nyingine..usichanganye mambo.

Kabla JPM hajafa tayari pale bandarini Majaliwa alishatumbua watendaji kadhaa walio chini ya mamlaka na ikaonekana Bandarini kuna shida nyingi sana kiasi cha majaliwa kufanya ziara za mara kwa mara....kumbuka kwenye uwezo wa kumtumbua Kakonko zilikuwa mamlaka za uteuzi wake kwa maana ya Rais...

Kakonko alikuwa meneja wa Tanroad mikoani huko then akawa Director of port ( hapa unazungumzia international business + busy operation yenye uhitaji wa mtu competent na mwenye uzoefu na exposure kwenye mabiashara na maoperation makubwa)...
 
inawezekana mwezi mmoja tu baadae ikawa zamu yako.

usimsifu mbio baba yako,ukasahau kwamba anakimbizwa.
Mlijiona Tanzania yote iko chini ya miguu yenu. Sisi hatujawahi kuwa walamba miguu wa utawala, hata aje Pinda akifanya vizuri atasifiwa, akizingua atapigwa za uso.
 
Mlijiona Tanzania yote iko chini ya miguu yenu. Sisi hatujawahi kuwa walamba miguu wa utawala, hata aje Pinda akifanya vizuri atasifiwa, akizingua atapigwa za uso.
huoni unajipa kazi isiyo na ujira!!

ndio maana nikakwambia unaweza usimalize mwezi ukaanza kuteseka tena,maana akikubadilikia tu,msiba mkubwa.

sisi ccm boss ni mwenyekiti wetu wa chama.kwahiyo mawazo yako hayako sahihi.
 
Sasa Kakoko alikuwa na mamlaka gani ya kukataa Mradi? Vitu vingine tuwe tunasema ukweli, yule pale angepelekewa tu file na sign here sticker anaweka signature na hakuna analoweza kufanya
 
Siwezi kuchangia juu ya miradi na Mikataba maana kwa Tanzania hizo ni Classified Information
Hadi unashangaa
Mambo ya watu wote ni SIRI.
Uhuni tu wa Kisiasa.
Jambo moja tu ni HAKIKA kuwa YESU ANAKUJA
Hii sio Classified Information
 
Humju vyema kakoko wewe!
 
Hahaha, akina Kakoko hawa, hata waziri mkuu na makamu wa rais walikuwa wanawaogopa! Leo hii wakisikia neno Takukuru wanajamba jamba jamvini! Hata afisa mdogo kabisa wa Takukuru anawajambisha, nyambaf zao
 
Unapokuja kwenye jukwaa kama hili, usidhani wote wanauelewa naunachajaribu kukieleza. Hivyo ili kupata wachangiaji wengi, unatakiwa kutoa ufafanazi kwanza. Deusdedith Kakoko ni nani, alifanya nini na alichukuliwa hatua gani kwa hicho alichokifanya kufanya alichofanya. Usiwe na haraka.
 
Katiba iliyopo umeshawahi kuisoma yote na kujua ina mapungufu gani?
Mkuu tatizo unauliza swali kwa mtu ambaye humfahamu. Sijui akilini kwako umefikiri nini kuhusu mimi kupitia comment yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…