G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Yani wewe utakufa tuu siku si nyingi na mimi nasema ufe maana hakuna namna. Sonona imekujaa mpaka inamwagika.We mbwa koko tokea lini ulipata akili timamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wewe utakufa tuu siku si nyingi na mimi nasema ufe maana hakuna namna. Sonona imekujaa mpaka inamwagika.We mbwa koko tokea lini ulipata akili timamu
Anafanya kazi ngumu sana.Mleta Thread Kaja Na Vitendea Kazi Kama:-
Omo,JIK,Foma Gold,Dettol Kumsafisha Kakoko
😁😀😂😃😄😅😆😃😃😂😂😄
Achaneni na mambo ya kipuuzi hayo, eti Mungu ametubariki kujua kusoma na kuandika na kudadavua mambo?!!ingekuwa kweli awamu ya tano ingewezaje kutufanya hadi tukaonekana kituko duniani!!huyo KAKOKO, licha ya yeye kuwa Mkurungezi pale bandari ufisadi uliisha?mala ngapi PM, alikuwa akienda pale bandarini anakuta madudu anaishia kuwafukuza wale waliokuwa chini ya mamlaka yake tu?!!na anatamka hao wengine sina mamlaka nao?!eti leo ndio anaonekana alikuwa na mawazo mazuri juu ya bandari ya bagamoyo?Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika ndio maana na kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Umejuaje kama Mleta Mada ni Kaka ?Kaka Kakoko alikuwa na matatizo mengi tu na mengine ya kimaadili hayawezi kuandikwa humu jukwaani.
Huyu Eric Hamis ameshaonyesha mwelekeo wa CEO anayetumia mbinu bora za kimenejimenti ambazo Kakoko hakuwa nazo.
Bado Mnaishi Jiwe eraWatanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Mlijiona Tanzania yote iko chini ya miguu yenu. Sisi hatujawahi kuwa walamba miguu wa utawala, hata aje Pinda akifanya vizuri atasifiwa, akizingua atapigwa za uso.inawezekana mwezi mmoja tu baadae ikawa zamu yako.
usimsifu mbio baba yako,ukasahau kwamba anakimbizwa.
huoni unajipa kazi isiyo na ujira!!Mlijiona Tanzania yote iko chini ya miguu yenu. Sisi hatujawahi kuwa walamba miguu wa utawala, hata aje Pinda akifanya vizuri atasifiwa, akizingua atapigwa za uso.
Sasa Kakoko alikuwa na mamlaka gani ya kukataa Mradi? Vitu vingine tuwe tunasema ukweli, yule pale angepelekewa tu file na sign here sticker anaweka signature na hakuna analoweza kufanyaWatanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Mama ni mwerevu anatambua jamaa ananuka damu zisizo na hatiaBashite ana ishi kwa hisani ya mama
Humju vyema kakoko wewe!Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Katiba iliyopo umeshawahi kuisoma yote na kujua ina mapungufu gani?Mwamuzi mkuu ni katiba mpya
Hahaha, akina Kakoko hawa, hata waziri mkuu na makamu wa rais walikuwa wanawaogopa! Leo hii wakisikia neno Takukuru wanajamba jamba jamvini! Hata afisa mdogo kabisa wa Takukuru anawajambisha, nyambaf zaoMaisha yanakwenda kasi sana.
Miezi minne nyuma hawa wanaolalamika na kulialia humu walikuwa untouchable.
Now mambo yamegeuka kabisa wanavyopata tabu na kusononeka mioyoni mwao mpaka huruma.
MATAGA pambaneni tu na zooeni hii hali mpya.
Hakuna mnaloweza kufanya.
Unapokuja kwenye jukwaa kama hili, usidhani wote wanauelewa naunachajaribu kukieleza. Hivyo ili kupata wachangiaji wengi, unatakiwa kutoa ufafanazi kwanza. Deusdedith Kakoko ni nani, alifanya nini na alichukuliwa hatua gani kwa hicho alichokifanya kufanya alichofanya. Usiwe na haraka.Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7.
Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi.
Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba mbovu wa kifisafi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Kilichompata Mungu anajua.
Nimekuelewa mkuu.Umejuaje kama Mleta Mada ni Kaka ?
Wajane wa dhalim jeuri sanaUmeona haya majibu yako yalivyojaa jeuri! Mwenzako amejibu hoja kwa heshima kabisa! Tena akikuita 'Kaka'!! Wewe unamuita mpumbavu!! [emoji849]
Mkuu tatizo unauliza swali kwa mtu ambaye humfahamu. Sijui akilini kwako umefikiri nini kuhusu mimi kupitia comment yangu.Katiba iliyopo umeshawahi kuisoma yote na kujua ina mapungufu gani?