TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

Mkuu fines za makosa ni ndogo sana huko ukifananisha na nchi zingine
Ila tatizo kubwa ni rushwa ambayo watu wameifanya kama way of life
Kama sheria zinafuatwa sawa
Na fine za Tz ni ndogo bado
Jamaa yangu hapa [emoji636] alikamatwa na kosa la drink and drive kafungiwa miezi 14 kuendesha gari na fine ya £9000 kama kama 27m hivi

Hawana utani huku ukivunja sheria utakoma
Mil 27? Kama huna?[emoji848][emoji848]
 
Hahah daah hio ilikua ni asubuhi,mchana au jioni mkuu?

Maana kwa asubuhi na mchana kwao ni high season ila kwa jioni ni low season hali yao inakua tete chochote wanapokea.
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]we jamaa bana

Mi Kuna mmoja hapo karume nilimpa buku 2 akanirushia
 
Hahah daah hio ilikua ni asubuhi,mchana au jioni mkuu?

Maana kwa asubuhi na mchana kwao ni high season ila kwa jioni ni low season hali yao inakua tete chochote wanapokea.
Ilikuwa saa 2 asubuhi [emoji1787][emoji1787]
 
Hahah daah hio ilikua ni asubuhi,mchana au jioni mkuu?

Maana kwa asubuhi na mchana kwao ni high season ila kwa jioni ni low season hali yao inakua tete chochote wanapokea.
Huwezi tenganisha polisi na rushwa,sawa na kiwi na kiatu
 
Kichizi daah ni mwendo wa kufuata sheria mwanzo mwisho,masuala ya kusimamishwa na police ukajifanya unatoa 'kishika uchumba' aisee utapa tabu sana hata muwe porini wawili jamaa wanaogopa balaa.
Duuh..Ndo maana wanyarwanda wanapenda sana kuishi huku, so simple
 
Hahah saa 2 asubuhi noma mkuu, wanakua kwny high season hapo.Ila hio buku 2 ungempa jioni angepokea kwa heshima huku akikwambia mkuu nenda polepole maana pale mbele baada ya lile bango kubwa la Coca kuna wenzangu pia wako pale wamejificha.
Ilikuwa saa 2 asubuhi [emoji1787][emoji1787]
 
Duuh..Ndo maana wanyarwanda wanapenda sana kuishi huku, so simple
Nchi majirani karibu zote walikuwa awajui rushwa watz ndo tumewafunza,hadi miaka ya 90 polisi wa Kenya walikuwa hawajui rushwa wafanyabiashars watz ndo wakawafundisha shika hii ya chai.Hata Malawi na Zambia wakawafundisha shika kafanta fanta means soda ya fanta.
 
Hahah sana na wabongo tulifundishwa na nani kutoa hizo za fanta mkuu?

Rushwa zilianza kutamalaki zama za mwinyi awamu ya pili enzi za mwalimu ilikuwa ni nadra sana kusikia maana watumishi walijitoshelezwa na serikali, walikuwa na nyumba, usafiri,elimu bure, mavazi,chakula mshahara ulikutana mwisho wa mwezi hata ulewe vipi
 
Hili ndilo napenda nchi za Wenzetu hapa unasimamishwa kila hatua hamsini kutafuta kosa Wenzetu wanangoja uvunje sheria ndipo uwakome na wakuonyeshe Cha mtema kuni kwetu wanakuwinda kutafuta makosa.
Hivi hiyo itakuja lini hapa kwetu sababu hapa kwetu kuendesha gari Ni karaha hata Kama una kila kitu Kiko sawa Ni kupigwa mkono tu unaendesha gari mguu ukiwa full time kwenye breki.Kazi ya traffic Tanzania Ni kutafuta makosa
Si mmewatuma watafute fedha za kubrashia viatu

Ova
 
Daah basi kama ni hivyo rushwa haiwezi tena kuisha mkuu, maana kipindi hiki kipindi hiki mishahara hata wiki 2 kufikisha ukiwa bado upo ni chamgamoto sana.

Nilidhani kwa mjeda kupewa u-boss pale Takukuru basi rushwa itapungua/kuisha kabisa lkn naona bado imetamalaki.

Back
Top Bottom