Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Mil 27? Kama huna?[emoji848][emoji848]Mkuu fines za makosa ni ndogo sana huko ukifananisha na nchi zingine
Ila tatizo kubwa ni rushwa ambayo watu wameifanya kama way of life
Kama sheria zinafuatwa sawa
Na fine za Tz ni ndogo bado
Jamaa yangu hapa [emoji636] alikamatwa na kosa la drink and drive kafungiwa miezi 14 kuendesha gari na fine ya £9000 kama kama 27m hivi
Hawana utani huku ukivunja sheria utakoma