Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Mil 27? Kama huna?[emoji848][emoji848]Mkuu fines za makosa ni ndogo sana huko ukifananisha na nchi zingine
Ila tatizo kubwa ni rushwa ambayo watu wameifanya kama way of life
Kama sheria zinafuatwa sawa
Na fine za Tz ni ndogo bado
Jamaa yangu hapa [emoji636] alikamatwa na kosa la drink and drive kafungiwa miezi 14 kuendesha gari na fine ya £9000 kama kama 27m hivi
Hawana utani huku ukivunja sheria utakoma
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]we jamaa bana
Mi Kuna mmoja hapo karume nilimpa buku 2 akanirushia
Wee usinambie
Ilikuwa saa 2 asubuhi [emoji1787][emoji1787]Hahah daah hio ilikua ni asubuhi,mchana au jioni mkuu?
Maana kwa asubuhi na mchana kwao ni high season ila kwa jioni ni low season hali yao inakua tete chochote wanapokea.
Maisha yao magumu eeh?Si mchezo huko ndio watu wanalimia meno haswaaaa.
Kichizi daah ni mwendo wa kufuata sheria mwanzo mwisho,masuala ya kusimamishwa na police ukajifanya unatoa 'kishika uchumba' aisee utapa tabu sana hata muwe porini wawili jamaa wanaogopa balaa.Maisha yao magumu eeh?
Huwezi tenganisha polisi na rushwa,sawa na kiwi na kiatuHahah daah hio ilikua ni asubuhi,mchana au jioni mkuu?
Maana kwa asubuhi na mchana kwao ni high season ila kwa jioni ni low season hali yao inakua tete chochote wanapokea.
Duuh..Ndo maana wanyarwanda wanapenda sana kuishi huku, so simpleKichizi daah ni mwendo wa kufuata sheria mwanzo mwisho,masuala ya kusimamishwa na police ukajifanya unatoa 'kishika uchumba' aisee utapa tabu sana hata muwe porini wawili jamaa wanaogopa balaa.
Ilikuwa saa 2 asubuhi [emoji1787][emoji1787]
Huwezi tenganisha polisi na rushwa,sawa na kiwi na kiatu
Duuh..Ndo maana wanyarwanda wanapenda sana kuishi huku, so simple
Nchi majirani karibu zote walikuwa awajui rushwa watz ndo tumewafunza,hadi miaka ya 90 polisi wa Kenya walikuwa hawajui rushwa wafanyabiashars watz ndo wakawafundisha shika hii ya chai.Hata Malawi na Zambia wakawafundisha shika kafanta fanta means soda ya fanta.Duuh..Ndo maana wanyarwanda wanapenda sana kuishi huku, so simple
Yule ni ticha kabisaYaani kule ndio wana Jiwe sasa tena lile la kusugulia miguu.
Yule ni ticha kabisa
Mtawauwa matrafic kwa stress
Nchi majirani karibu zote walikuwa awajui rushwa watz ndo tumewafunza,hadi miaka ya 90 polisi wa Kenya walikuwa hawajui rushwa wafanyabiashars watz ndo wakawafundisha shika hii ya chai.Hata Malawi na Zambia wakawafundisha shika kafanta fanta means soda ya fanta.
Rushwa zilianza kutamalaki zama za mwinyi awamu ya pili enzi za mwalimu ilikuwa ni nadra sana kusikia maana watumishi walijitoshelezwa na serikali, walikuwa na nyumba, usafiri,elimu bure, mavazi,chakula mshahara ulikutana mwisho wa mwezi hata ulewe vipiHahah sana na wabongo tulifundishwa na nani kutoa hizo za fanta mkuu?
Si mmewatuma watafute fedha za kubrashia viatuHili ndilo napenda nchi za Wenzetu hapa unasimamishwa kila hatua hamsini kutafuta kosa Wenzetu wanangoja uvunje sheria ndipo uwakome na wakuonyeshe Cha mtema kuni kwetu wanakuwinda kutafuta makosa.
Hivi hiyo itakuja lini hapa kwetu sababu hapa kwetu kuendesha gari Ni karaha hata Kama una kila kitu Kiko sawa Ni kupigwa mkono tu unaendesha gari mguu ukiwa full time kwenye breki.Kazi ya traffic Tanzania Ni kutafuta makosa
Rushwa zilianza kutamalaki zama za mwinyi awamu ya pili enzi za mwalimu ilikuwa ni nadra sana kusikia maana watumishi walijitoshelezwa na serikali, walikuwa na nyumba, usafiri,elimu bure, mavazi,chakula mshahara ulikutana mwisho wa mwezi hata ulewe vipi