TAKUKURU sasa yasema inaanza kuchunguza Vyama vya Siasa kuhusu fedha za mfuko wa jimbo

Lema alitafuna hela zote za jimbo na bado amekimbia na kuacha deni la million 400

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app

Nchi ya wambea deni mbona wadai hawapeleki kesi mahakamani? Au wanamwogopa ni uzushi za kitoto😂 hakuna wa kulaumu sasa ni kutafuta uchawi yaani mtu kawa mbunge miaka 10 eti unaanza kuchunguza mwaka wa kumi na moja ili upate vitu ambavyo watu hawakumbuki tena mbunge akiwa hayupo!
 
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.

Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni.

Tuwaombee nusura ila yajayo kwao yanafurahisha.

TAKUKURU leo amesema wanaanza kuvichunguza vyama vya siasa kwa wabunge wao waliopita katika bunge la 11 kabla ya uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu ambao uliamua hatima yao ya ubunge, kuhusu fedha za mfuko wa jimbo walizokuwa wakipewa wakati wakilitumikia bunge la 11 kama zilitumika kwa usahihi.
Waanzie kwa wale wa mitaa ya kijani,hapo tutaona nia yao njema kwa taifa hili na isiwe sababu ya kutaka kuhalalisha yale ya karibuni.
 
Naona tumewatoa wabunge wa upinzani wote bungeni lakini bado tunapata shida sana, naona kama hatujalizika vile
Hapa mpango ni kuhalalisha mambo,iwe kwa halali am haramu. Ili mradi kilichofanyika ionekane ilitokea kwa sababu.
 
1608914036399.jpeg

Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.

Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni.

Tuwaombee nusura ila yajayo kwao yanafurahisha.

TAKUKURU leo amesema wanaanza kuvichunguza vyama vya siasa kwa wabunge wao waliopita katika bunge la 11 kabla ya uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu ambao uliamua hatima yao ya ubunge, kuhusu fedha za mfuko wa jimbo walizokuwa wakipewa wakati wakilitumikia bunge la 11 kama zilitumika kwa usahihi.
 
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.

Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni.

Tuwaombee nusura ila yajayo kwao yanafurahisha.

TAKUKURU leo amesema wanaanza kuvichunguza vyama vya siasa kwa wabunge wao waliopita katika bunge la 11 kabla ya uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu ambao uliamua hatima yao ya ubunge, kuhusu fedha za mfuko wa jimbo walizokuwa wakipewa wakati wakilitumikia bunge la 11 kama zilitumika kwa usahihi.
Kabla ya hapo naomba ije takukuru ya huko nje ije kuchungiza hii ya kwetu kwanza ndio tujidhiirishe na utendaji kazi wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.

Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni.

Tuwaombee nusura ila yajayo kwao yanafurahisha.

TAKUKURU leo amesema wanaanza kuvichunguza vyama vya siasa kwa wabunge wao waliopita katika bunge la 11 kabla ya uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu ambao uliamua hatima yao ya ubunge, kuhusu fedha za mfuko wa jimbo walizokuwa wakipewa wakati wakilitumikia bunge la 11 kama zilitumika kwa usahihi.
Takukuru ni Washenzi tu
 
Bora wangedili na rushwa kwenye uchaguzi uliopita maana umeacha mpasuko mkubwa sana.Kwa mujibu WA jaji Joseph warioba.
 
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.

Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni.

Tuwaombee nusura ila yajayo kwao yanafurahisha.

TAKUKURU leo amesema wanaanza kuvichunguza vyama vya siasa kwa wabunge wao waliopita katika bunge la 11 kabla ya uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu ambao uliamua hatima yao ya ubunge, kuhusu fedha za mfuko wa jimbo walizokuwa wakipewa wakati wakilitumikia bunge la 11 kama zilitumika kwa usahihi.
Waanze na maofisa wa TRA makao makuu mabingwa wa kuwabambikia kesi kubwa wafanyabiashara kuwakomoa kufunga biashara zao kufunga Account zao kienyeji kihuni kutengeneza mazingira ya Rushwa
 
Waanze na rambirambi za wahanga wa TETEMEKO LA ARDHI KAGERA.
Waliiba ela nyingi wakashindwa kuzitolea maelezo.account
Pia waanze kuwachunguza maofisa wa TRA vinara wa kufunga account biashara za watu Serikali inakosa pesa huku wao wakijinufaisha binafsi kwa njia za Rushwa
 
Wameshindwa kuua upinzani sasa wanaendela kuleta vioja.
Sijui wanataka kulazimisha guerrilla war?
Maana nina hofu watu wanaweza wakalazimika kufika huko.... kitu ambacho si afya kwa fabric ya taifa letu.
 
Nchi ya wambea deni mbona wadai hawapeleki kesi mahakamani? Au wanamwogopa ni uzushi za kitoto😂 hakuna wa kulaumu sasa ni kutafuta uchawi yaani mtu kawa mbunge miaka 10 eti unaanza kuchunguza mwaka wa kumi na moja ili upate vitu ambavyo watu hawakumbuki tena mbunge akiwa hayupo!
Badala wachunguzwe TRA kwa kulikosesha Taifa mapato kwa baadhi ya watumishi wake kujinufaisha binafsi wanaenda kuhangaika na vitu visivyo na tija kwa Taifa
 
Kwa hiyo upinzani mnaogopa nini, mnajua mlifanya hujuma katika hiyo pesa?

Nachojua hata wabunge wa CCM nao watakumbwa na hilo, cha kushangaza kudhibiti pesa za umma nalo ni kosa?
Vijna wa upinzani sasa mmechoka kiakiri.
Kama walitumia vibaya wazilipe tu kisha maisha yaendelee na kama walikula bila kubakiza wacha yawakute.

Mwanzo nilikuwa sijui mfuko wa jimbo unafanyaje kazi, nilidhani hiyo hela inaingia kwenye account ya mbunge. Kumbe hela inaingia halmashauri, na mbunge anakuwa mwenyeki tu wa kikao cha madiwani wanaoamua hizo hela zitumike katika miradi gani. Lakini dakika ya mwisho baada ya kikao cha madiwani, mkurugenzi au muhasibu wa halmashauri ndio anasaini pesa itoke baada ya kupata maagizo ya vikao halali vya madiwani. Hao Takukuru ni kama wanaleta vioja tu lakini hawana jipya. CAG ndio mkaguzi wa hizo pesa.
 
Waache siasa hawa nao....
Kuna mengi sana ya msingi lakini wanazembea..

QUOTE="G Sam, post: 37658509, member: 137610"]
Najua kuwa mlengwa mkuu ameshajulikana na hapa Lema alicheza kama Pele.

Ilikuwa ni suala la muda tu kwa wabunge waliopita wa CHADEMA kuanza kukumbwa na mshike mshike wa fedha za mfuko wa jimbo. Kama mlikuwa hamjui basi hii ndiyo sababu kubwa ya wao kuangushwa na mamlaka huko majimboni.

Tuwaombee nusura ila yajayo kwao yanafurahisha.

TAKUKURU leo amesema wanaanza kuvichunguza vyama vya siasa kwa wabunge wao waliopita katika bunge la 11 kabla ya uchaguzi mkuu wa Octoba mwaka huu ambao uliamua hatima yao ya ubunge, kuhusu fedha za mfuko wa jimbo walizokuwa wakipewa wakati wakilitumikia bunge la 11 kama zilitumika kwa usahihi.
[/QUOTE]
 
Fedha za jimbo zinamlenga Mkurugenzi,kwasababu taratibu za matumizi zinaratibiwa na Mkurugenzi.
Mbunge yeye ni muibuaji tu wa mradi.
Mwaka huu Wakurugenzi wataponaje dhidi ya hizi tuhuma?Inaonekana wapi targeted na walio wengi watatumbuliwa.Kura walizojazia sasa watazilipia gharama.
 
Taasisi yoyote inayoacha weledi na kuanza kufanya kazi kwa maelekezo ya ccm haijawahi kufanikiwa , fanya uchunguzi.
 
Back
Top Bottom