peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mchengerwa ambaye ni waziri ungelijua mke wake ni mtoto wa nani ungeachana na hii mada mkuu.Nb: Mama anaupiga mwingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchengerwa ambaye ni waziri ungelijua mke wake ni mtoto wa nani ungeachana na hii mada mkuu.Nb: Mama anaupiga mwingi.
[emoji122][emoji122][emoji122] pambania haki yako mkuu ,wanamazoea mabovu, watu tunapoteza nauli nyingi kutoka Katavi mpaka dsm hafu wanakuwa na watu waoPole sana mkuu. Usiache kupambana.
Cheki na Patrobas Katambi, waziri anaehusika na ajira kupitia namba ya simu 0754 939902, hii namba yake ipo WhatsApp, mcheki kwa whatsapp na umtumie haya maelezo pamoja na vielelezo vyote mkuu. Liability
Usichoke kupambania haki yako!!
Utumishi ni jipu limeiva inabidi walitumbue, huyo jamaa kainunua hiyo nafasi na anasapoti ya mtu mzito au anacheo, usikubali kushindwa lalamika mpaka rais apate malalamiko yako, mfumo wetu wa ajira Tz ni WA kufahamiana, kama huna connection [emoji848][emoji848][emoji848]
Fika ofisini kwake omba appointment nayeAtampataje? Mpe ramani
Huyo dogo hata ka ni kigogo ndo imshinde waziri si wangetangaza hata nafasi ka tatu ili kumweka mtu wao na afanye hyo interview maana wengi hupewa majibu. Hao waja wamezingua kumpoka dogo kazi yake I wonder hata akirudishwa watamtesa tu bure maana hyo kuwekwa ni kutoka juu.Usikute dogo kapelekwa na kigogo hivyo kaona maji marefu usipime na kidole,
Nikikumbuka interview moja watu waliandika majina na kusaini kwamba walikuwepo lakini kesho yake jina la flani halipo kwamba hajahudhuria [emoji28], ilipigwa simu moja matata ikabidi warejeshe jina
Daah
Kijana kawasiliana Hadi na waziri mchengerwa naye kampiga chenga ya mwili bila msaadaPole sana mkuu. Usiache kupambana.
Cheki na Patrobas Katambi, waziri anaehusika na ajira kupitia namba ya simu 0754 939902, hii namba yake ipo WhatsApp, mcheki kwa whatsapp na umtumie haya maelezo pamoja na vielelezo vyote mkuu. Liability
Usichoke kupambania haki yako!!
Wewe kichwa kigumu kweli[emoji41][emoji41][emoji41] kwani ujaona amepewa na barua kabisa ya kwenda kulipoti kituo Cha kazi, au uko utumishi kwa wahuni waliobeba katika bidhaa ya ajira.Mara unasema aliyeajiriwa hakufanya usaili,
Mara unasema aliyeajiriwa alifeli usaili...
Namba ya Karibu Mkuu kiongozi nimekupa kwa vile nimeumia juu yako ...Atampataje? Mpe ramani