TAKUKURU inabidi wamuhoji Lissu ili awatajie!Huyo kiongozi wa chadema ni yupi?
Huu Sasa ni uchokozi wa makusudi, hivi unataka kumvua nguo mfalme??Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.
Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.
Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
Rushwa ni adui wa haki! Kwani mfalme hataki haki?Huu Sasa ni uchokozi wa makusudi, hivi unataka kumvua nguo mfalme??
Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe manenoMara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.
Tunataka Mama Abdul amkemee mtoto wake aache michezo michafu!Unataka Abdul na mama yake waumbuke?
Mama Adul yupi yule mama muuza genge pale Manzese kwa Mfuga mbwa au mama Adul yupi unayemuongelea?Tunataka Mama Abdul amkemee mtoto wake aache michezo michafu!
Duuh! Ulipata D ngapi au ndiyo ulifuta zote F?Kichwa chako hakiko sawa hajawahi tanka kuwa mtoto wa Mama Samia aitwaye Abdul alitaka kumpa rushwa Usimlishe maneno
Yeye husema Abdul alikuja kutaka kunipa Rushwa nikamwambia kamwambie mama Abdul hivi na hivi
Abdul aweza kuwa kibaka yeyote na mams Abdul aweza kuwa hata mama Natalie
Unamdhtaki wapi wakati hskufafanua specifically kwa Details huyo Abdul ni nsni na mama Abdul ni nani
Takukuru sio mabwege kama wewe
Ukiona choo ndotoni usikutumie, utaaibika. TAKUKURU siyo mafala.Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.
Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.
Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
Wanaogopa kijinyea?Ukiona choo ndotoni usikutumie, utaaibika. TAKUKURU siyo mafala.
Usiwinde mnyama ambae huwezi kumuua, utakufa wewe.Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali.
Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa rushwa kwa viongozi wengine kadhaa wa Chadema kwa hiyo yeye hatakuwa wa kwanza! Lissu ameweka wazi kuwa rushwa aliyotaka kupewa ni kununuliwa gari.
Pamoja na maelezo yote haya TAKUKURU wamekaa kimya bila kuchukua ya kumuhoji. Je hawajasikia? Na kama wamesikia wanasubiri nini kupata ukweli zaidi na kuchukua hatua za kisheria?
Sio mziki Lisu anahoja za kitoto akidhani watu wataingia mtego kijinga Anamtaja Abdul bila kufafanua huyo Adul ni nani na huyo mama Abdul ni nani ana utoto wa kisheria akidhani atakamatwa halafu skigika mahakamani aseme kwani mimi nilisema Abdul au mama Abdul yupi wapi nilisema mtoto wa Raisi Mama Samia anashinda kedi halafu anaanza kujitia kutamba ohh nimewabwaga mahakamaniTakukuru hawana ubavu huo wa kumhoji.Maana wanajua mziki wa Tundulisu.Hii rushwa inamhusisha Hadi rais ambapo takukuru hawezi kugusa Kwa sababu huyo wanamchukulia kama mungu wao.Angekuwa ni mlala hoi angeshapigiwa simu kwenda ofisi za Takukuru.Elimu na ujasiri unalipa sana.Huwezi kuonewa na yeyote
Mbona umeandika kwa taharuki na kukabwa shingo?😂Sio mziki Lisu anahoja za kitoto akidhani watu wataingia mtego kijinga Anamtaja Abdul bila kufafanua huyo Adul ni nani na huyo mama Abdul ni nani ana utoto wa kisheria akidhani atakamatwa halafu skigika mahakamani aseme kwani mimi nilisema Abdul au mama Abdul yupi wapi nilisema mtoto wa Raisi Mama Samia anashinda kedi halafu anaanza kujitia kutamba ohh nimewabwaga mahakamani
Kesi ya kijinga hiyo nani ampeleke mahakamani hayuko ndio.maana kaachwa aendeleee kubweka ya huyo Abdul na mama.Abdul wake awateke wenye akili ndogo kama mleta mada