Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Wanasheria walishatoa angalizo kuwa, GSM alimuuzia Makonda, na ktk mauziano GSM hakuweka vitu sahihi mfano alihakikisha picha na mihuri tofauti na pia alihakikisha mamlaka zingine hazijaweka sahihi lakini pia GSM alihakikisha anaweka sahihi za uongo na baada ya hapo akatangaza kupotelewa hati. Kwa ufupi GSM ni tapeli.Kwa hiyo Mr. Makonda hakuona tangazo la kupotea kwa hati?
Inawezekana wakati huo walipeana hicho kiwanja kibabe or otherwise, na mtoaji hakuridhika. Kwa nguvu iliyokuwepo kabla, mtoaji akawa mpole na kusema hewala. Nguvu ilipoyeyuka akili ikamcheza mtoaji kuwa why? Umafia ukarudi kazini, connections hapa na pale, ripoti za upotevu na shahidi mbali mbali zikaundwa......mtoaji akarudi barabarani na single yake....aliyebaki kazi kwake kuuhakikishia umma kuwa ni mmiliki halali.Yaani inawezekana walimpa hati halafu wakaripoti kupotea
Nijuavyo Mimi huu mchezo makonda aliucheza wakati wa Baba
Hapo kuna kitu hakisemwi makussudi. Anaweza kushinda mtu kwa hoja za kisheiria lakini ku.mbe nadiya akawa mdhulumaji.Hii story ya hati ya kiwanja kupotea kuna mahali ililetwa nikaiona, kumbe ni kweli huu mchezo GSM atakuwa alitoa kiwanja kwa Makonda wakati Makonda akiwa mkubwa sasa wamemgeuka baada ya "godfather" wake kuondoka, huu mchezo naona umechezwa na "wajanja" huko wizarani.
Kweli kutesa kwa zamu, naona TAKUKURU wameiwahi hii issue mapema ili kuwatuliza walioshika mpini kwa sasa, TAKUKURU ni ofisi fulani inayotumiwa na watawala na marafiki zao kwa mapenzi yao binafsi, sio kwa manufaa ya umma kwani wizi unaotokea huko serikalini kwa viongozi kuhusika huwa hawasemi chochote.
Kama makubaliano yao yalikuwa ya halali kabisa,sidhani kama wangegeukana,bila shaka kulikuwa na vitisho ndani yake ,Kama vitisho havipo tena kwanini usidai haki yako.Hapa inaonekana Kuna makubaliano halali yalifanyika kati ya GSM na Makonda kuhusu ununuzi wa kiwanja.Na yalifanyika wakati Makonda Ni mkuu wa mkoa.Sasa GSM amegeuka hayo makubaliano.Anaanza uongo.GSM anashirikiana na Ridhiwani Kikwete kudanganya umma.GSM inaonekana hana elimu .
Ukitafuta uhalali wa pesa basi pia unaweza staajabu kwa GSM pia.Hii kesi ikiletwa kwangu natoa hukumu ndani ya dakika moja tu, Makonda hana haki hata Kama anayo, Kwasababu moja tu pesa hazikuwa za halali.
Sasa mwenye elimu hakuona tangazo la GSM la kupotewa hati? si angejitokeza na kupinga hilo tangazo..ona sasa elimu yake ilipomfikisha hadi "kuwasingizia" polisi kuwa "wanatumika" kumtapeli!...Ridhiwani kaingiaje hapa? kwanini asiwe Anjela Mabula?....Karibuni mjini!Hapa inaonekana Kuna makubaliano halali yalifanyika kati ya GSM na Makonda kuhusu ununuzi wa kiwanja.Na yalifanyika wakati Makonda Ni mkuu wa mkoa.Sasa GSM amegeuka hayo makubaliano.Anaanza uongo.GSM anashirikiana na Ridhiwani Kikwete kudanganya umma.GSM inaonekana hana elimu .
Kwa mtu yeyote mwenye akili akiangalia issue nzima,utagundua tu kulikuwa na makubaliano kati ya hao wawili.Huyu anayejiita GSM ni marafiki wa Kikwete wanaotumia vibaya ,madaraka ya Kikwete Kama Rais msataafu kupora mali za watu.Yaan bongo ,mambo mengi yanaendeshwa kihuni tu.Unaingia mkataba ,baadae utawala umebadilika.Unadai umeibiwa hati.Watu wa aina hii ni hatari Sana.Swali .Kwann GSM aliuza hicho kiwanja?Kwanini amebadilika?Eti Sasa ameibiwa hati.Huo ni uhuni.Sasa mwenye elimu hakuona tangazo la GSM la kupotewa hati? si angejitokeza na kupinga hilo tangazo..ona sasa elimu yake ilipomfikisha hadi "kuwasingizia" polisi kuwa "wanatumika" kumtapeli!...Ridhiwani kaingiaje hapa? kwanini asiwe Anjela Mabula?....Karibuni mjini!
Mkuu, kuna watu wamepinda kwelikweliX Wake tena?
TAKUKURU ndiyo dodoki rasmi la kuwasafisha watawala wa CCM na wapendwa wao.Hii story ya hati ya kiwanja kupotea kuna mahali ililetwa nikaiona, kumbe ni kweli huu mchezo GSM atakuwa alitoa kiwanja kwa Makonda wakati Makonda akiwa mkubwa sasa wamemgeuka baada ya "godfather" wake kuondoka, huu mchezo naona umechezwa na "wajanja" huko wizarani.
Kweli kutesa kwa zamu, naona TAKUKURU wameiwahi hii issue mapema ili kuwatuliza walioshika mpini kwa sasa, TAKUKURU ni ofisi fulani inayotumiwa na watawala na marafiki zao kwa mapenzi yao binafsi, sio kwa manufaa ya umma kwani wizi unaotokea huko serikalini kwa viongozi kuhusika huwa hawasemi chochote.
Alikuwa na kazi nyingi za kuzulia wenzake kashfaKwa hiyo Mr. Makonda hakuona tangazo la kupotea kwa hati?
Kuponda raha kuliko watu wote duniani kumeishaNdio kutesa kwa zamu, wengine tubaki watazamaji na washangiliaji.
Lakini kumbe ukiingia kwenye siasa inalipa sana !! Kama mwaka 2013 alikuwa hohe hahe Leo baada ya miaka 8 MTU anakuwa bilionea !! Kama ni kweli Siasa shikamoo !!Kuishi vizur na watu huwa inaepusha mengi mabaya na kuisaidia mengi mazuri, tujifunze kupitia kwa Makonda.
Kwa hiyo Mr. Makonda hakuona tangazo la kupotea kwa hati?
bashite ndio hamna shule! kama kiwanja ni chake kwanini asipeleke document?Hapa inaonekana Kuna makubaliano halali yalifanyika kati ya GSM na Makonda kuhusu ununuzi wa kiwanja.Na yalifanyika wakati Makonda Ni mkuu wa mkoa.Sasa GSM amegeuka hayo makubaliano.Anaanza uongo.GSM anashirikiana na Ridhiwani Kikwete kudanganya umma.GSM inaonekana hana elimu .