Gordian Anduru JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 369 Reaction score 747 Sep 14, 2024 #1 Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 - Quarter-finals 1990 - Quarter-finals 1992 - Finalist 2007 - Semi-finals 2009 - Semi-finals 2011 - Semi-finals 2015 - Semi-finals na wameingia group stage klabu bingwa mara 13, 2007 ,2008, 2009, 2010, 2011, 2014, 2015, 2017, 2019-20, 2020-21, 2021-22, 2022-23, 2023-24
Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 - Quarter-finals 1990 - Quarter-finals 1992 - Finalist 2007 - Semi-finals 2009 - Semi-finals 2011 - Semi-finals 2015 - Semi-finals na wameingia group stage klabu bingwa mara 13, 2007 ,2008, 2009, 2010, 2011, 2014, 2015, 2017, 2019-20, 2020-21, 2021-22, 2022-23, 2023-24
Gordian Anduru JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 369 Reaction score 747 Sep 14, 2024 Thread starter #2
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,094 Reaction score 3,218 Sep 14, 2024 #3 Ngoja waje wale wenye timu kubwa
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,230 Reaction score 9,889 Sep 14, 2024 #4 Shabiki WA Yanga, Mwanasheria na msemaji wenu mna jiabisha. Pitia Vizuri ulichoandika. Sio lazima ukiwa mjinga watu wajue. Unaweza kujistiri Kwa kukaa kimya.
Shabiki WA Yanga, Mwanasheria na msemaji wenu mna jiabisha. Pitia Vizuri ulichoandika. Sio lazima ukiwa mjinga watu wajue. Unaweza kujistiri Kwa kukaa kimya.
Tajiri Tanzanite JF-Expert Member Joined Oct 23, 2016 Posts 2,536 Reaction score 4,621 Sep 14, 2024 #5 Hivi yanga wangekutana na APR na PYRAMIDS wangetoboa kweli?APR juzi kwenye kombe la mapinduzi iliifunga yanga 3 bila
Hivi yanga wangekutana na APR na PYRAMIDS wangetoboa kweli?APR juzi kwenye kombe la mapinduzi iliifunga yanga 3 bila
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,069 Reaction score 3,899 Sep 14, 2024 #6 Tajiri Tanzanite said: Hivi yanga wangekutana na APR na PYRAMIDS wangetoboa kweli?APR juzi kwenye kombe la mapinduzi iliifunga yanga 3 bila Click to expand... Wewe ni kiazi.
Tajiri Tanzanite said: Hivi yanga wangekutana na APR na PYRAMIDS wangetoboa kweli?APR juzi kwenye kombe la mapinduzi iliifunga yanga 3 bila Click to expand... Wewe ni kiazi.