Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

Nadhani hii taarifa haina ukweli wowote ni ya kupuuzwa
 
Wabongo tunapenda kuuukataa ukweli
 
Mimi naona tuko vema kabisa.. Silaha nyingi za nini? Ukizingatia budget yake, handling cost na mabadiliko ya technolojia ...better have few and cop with new tech at its pace.
 
2b168d1f-4233-48da-a613-648ef1f58247-jpeg.2376556
kweli akili huna. kamulize mamako kwanini huna akil, inawezekana lishe alokuwa anakupatia. Ni nan huyo anayeweza kupata taarifa za jeshi wakati hata wabunge hawaambiwi? Tumieni hata akili za kuazima saazingine.
 
Angalia vizuri taarifa yako.
Fanya assignment. Dsm kuna vikosi vingapi unavyovijua. Halafu nitajua kama unajua.
Kuwa na vikosi vingi sio shida. Vikosi vyenyewe vina active troops wangapi. Silaha dhaifu ni dhaifu tu. Mbona Kikwete alivyonunua J-7G kutoka China tulijua na idadi yake na shipments. Hivyo vifaru vimenunuliwa kuzimu ama nini
 
Unatumia blog l za Kenya kujustify taarifa za kesho letu kweli, yaani hatuna towed artillery ata Moja na wewe unaamini tunavifaru 47 duh..mara nyingi bloger wa Kenya Huwa wanatwiat hizi habari kupata view nyingi.

wangekua wana twist wangejiweka wao no moja….lakini hata kwene firepower index mlolongo uko hivo
 
Kuwa na vikosi vingi sio shida. Vikosi vyenyewe vina active troops wangapi. Silaha dhaifu ni dhaifu tu. Mbona Kikwete alivyonunua J-7G kutoka China tulijua na idadi yake na shipments. Hivyo vifaru vimenunuliwa kuzimu ama nini
Hivi unaamini kabisa tuna tanks 42 na hatuna towed artillery?
 
Back
Top Bottom