Nani huyo?Tunawapenda wazee wetu.
Kuna mcheza mpira hali yake ni mbaya now, hii virus hata kama haita kuuwa ila chamoto utakiona.
Huyo alikuwa na kansa ya damu na ilishamla sana. Hayo mafua yamekwenda tu kufanya featuringKuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Uliza uambiwe, jogoo akiwa mzee kupindukia hutaga kayai kadogo kama njegere hivi, ila ni yai dumeUashirio wako hauingii akilini. Hakuna chance yeyote ile hadi mwisho wa dunia kwa jogoo kutaga mayai, lakini ipo chance ndogo (ndogo lakini ipo) ya mtu wa chini ya miaka 50 kufa kwa virusi vya corona
Hizi takwimu sina uhakika nazo, lakini tatizo si kufa mwenye huo umri, bali huyo mwenye huo umri anaweza kuambukiza wengine wenye umri chini ya 50 na kizazi kizima kikaisha
Ssna mkuuu na mihemko ya hatari hadi kwa viongozi wa serikaliCorona ni 'mafua makali' kama una good immunity hasa sisi waafrika hufi, wazungu mafua yanawasumbua tangu zamani. Corona ipo overrated sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Young people may die but old age people must die.So kwako it sounds Okay kwa sisi babu zenu kufa?
Ndugu yangu... wewe huna ndugu, jamaa na marafiki na hata binadamu wenzako wenye umri juu ya miaka 50? Au nilulize hivi: Hii dunia haina watu wenye umri zaidi ya miaka 50? Acha ubinafisi! Kwa kuwa jambo halikupati wewe basi usione halina hatari. Ndiyo maana huwa nasema waafirika bado tupo kwenye stages za mwanzoni za evolution kulinganisha na wazungu. Mwafrika kama kitu hakimhusu basi yeye ataweka mguu juu na kufurahia. Thanks, watu weupe wengi hawana mawazo kama haya. Huwa wanajali shida inapompata binadamu yoyote bilka kujali kama inawahusu.Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Sasa huoni kuwa hata wewe unayejiona chuma ni kuwa ukipata huo ugonjwa hata kama uwezekeno wa kufa ni mdogo kabisa lakini bado utawaambukiza wengine wenye umri mkubwa na wenye magonjwa mengine? Huoni kuwa tusipochukuwa tahadhari baada ya muda dunia itakuwa imepoteza wazee wengi na watu waliokuwa na magojwa mengine kama pumu nk? Hilo kwako ni poa?Ndio hao wanakuwa na pre-existing conditions za kiafya hivyo ikija Corona ni kama inakuja kuwamalizia tu, ila hao ndio wako ndani ya hiyo 0.2%
Yule alikuwa anasumbuliwa na kansa ya mapafu sio COVID-19Kuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Ajabu zaidi hatutaki kufa,we mtu kila siku unamuomba Mungu akupe pepo then njia za kuiona pepo zinakuja wewe tena kuzitumia hutaki.Huwezi kuiona Pepo ila kwa njia ya Kifo.
Wenye ukimwi pia wako hatarini. Take care!Nimeashiria kwamba jinsi ilivyongumu kwa jogoo kutaga mayai ndivyo ilivyo ngumu kwa mtu wa umri wa chini ya50yrs kufa kwa Corona. Legeza ubongo basi khaa...
Ajabu zaidi hatutaki kufa,we mtu kila siku unamuomba Mungu akupe pepo then njia za kuiona pepo zinakuja wewe tena kuzitumia hutaki.
Wakati mwengine hata Mungu tunamchanganya anatuona kama tunamtania.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Wamarekani wenyewe wanapanic sana..Hapa kinachotakiwa ni kukuza panic kwa kiwango ambacho marekani itaridhika.