Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Uashirio wako hauingii akilini. Hakuna chance yeyote ile hadi mwisho wa dunia kwa jogoo kutaga mayai, lakini ipo chance ndogo (ndogo lakini ipo) ya mtu wa chini ya miaka 50 kufa kwa virusi vya corona
Uliza uambiwe, jogoo akiwa mzee kupindukia hutaga kayai kadogo kama njegere hivi, ila ni yai dume
 
PANIC PANIC! Jamii inaaminishwa vitu vya kijinga sanaa na tatizo la watu weng n kutokusomaaa,corona sio serious ivyo kama wanavyoaminishwa na wanasiasaa
Watu hawafayiliii data watu wa aina gan wanaofarik wao n kutishana tu
Hakuna cha maana n ujinga tu
 
Hizi takwimu sina uhakika nazo, lakini tatizo si kufa mwenye huo umri, bali huyo mwenye huo umri anaweza kuambukiza wengine wenye umri chini ya 50 na kizazi kizima kikaisha

Jitahid kusoma jaman mnadanganywa kuhusu iyo corona sio serious kihivyo
Jamaa uuko sawa inawaua wazee na wenye upungufu wa kika mwilin wenye magonjwa kama sukar na presha ila kwa mtu wa kawaida chinya miaka 60 si rahis kufa kwa corona
 
Kuchukua tahadhari ni muhimu,watu wakipanick ndio nzuri watachukua hatua kujikinga...mkuu corona ni dangerous..at greater risk ni wale wazee na watu wenye pre-existing conditions such as diabetes...ila hii sio kwamba wengine hawafi kutokana na corona....mkuu sio wakati wa mzaha huu
 
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Ndugu yangu... wewe huna ndugu, jamaa na marafiki na hata binadamu wenzako wenye umri juu ya miaka 50? Au nilulize hivi: Hii dunia haina watu wenye umri zaidi ya miaka 50? Acha ubinafisi! Kwa kuwa jambo halikupati wewe basi usione halina hatari. Ndiyo maana huwa nasema waafirika bado tupo kwenye stages za mwanzoni za evolution kulinganisha na wazungu. Mwafrika kama kitu hakimhusu basi yeye ataweka mguu juu na kufurahia. Thanks, watu weupe wengi hawana mawazo kama haya. Huwa wanajali shida inapompata binadamu yoyote bilka kujali kama inawahusu.
 
Ndio hao wanakuwa na pre-existing conditions za kiafya hivyo ikija Corona ni kama inakuja kuwamalizia tu, ila hao ndio wako ndani ya hiyo 0.2%
Sasa huoni kuwa hata wewe unayejiona chuma ni kuwa ukipata huo ugonjwa hata kama uwezekeno wa kufa ni mdogo kabisa lakini bado utawaambukiza wengine wenye umri mkubwa na wenye magonjwa mengine? Huoni kuwa tusipochukuwa tahadhari baada ya muda dunia itakuwa imepoteza wazee wengi na watu waliokuwa na magojwa mengine kama pumu nk? Hilo kwako ni poa?
 
Iko hivi Niko chini ya miaka 50 lazima nipanic, kwa sababu nimezungukwa na baba na Mama Nina wajomba Nina majirani wenye umri mkubwa tunaoshirikiana nao Sasa nikipata Mimi it means ntawaambukiza hao! Mbona ni simple logic sana! Au nyiye huko kwenu wote ni chini ya miaka 50! Yaani hongera sana kuzungukwa na vijana!
 
Ajabu zaidi hatutaki kufa,we mtu kila siku unamuomba Mungu akupe pepo then njia za kuiona pepo zinakuja wewe tena kuzitumia hutaki.

Wakati mwengine hata Mungu tunamchanganya anatuona kama tunamtania.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom