Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Wana wazee wengi sana na wazee ndio hazina kubwa kwenye mipango kazi!!
Haswa kwenye kazi zao za kiharamia!!
Life expectancy ya nchi kama USA na Japan iko juu sana, kukuta watu wana miaka 85 - 90 ni kawaida, huku Africa mtu kufika 60 tu ishu..
 
Life expectancy ya nchi kama USA na Japan iko juu sana, kukuta watu wana miaka 85 - 90 ni kawaida, huku Africa mtu kufika 60 tu ishu..
Exactly! Alafu wazee huku hawataki kujizeesha! Utakuta babu wa miaka zaidi ya sitini anaenda beach kama kawaida yaani full kujichanganya
 
Kwanza miaka 60 hata ukifa Taifa halina hasara.....
 
Life expectancy ya nchi kama USA na Japan iko juu sana, kukuta watu wana miaka 85 - 90 ni kawaida, huku Africa mtu kufika 60 tu ishu..
Na Italy pia mkuu!
Huku kwetu kutoboa 60 kweli imekuwa shidah ma Babu zetu waliishi miaka mingi sana hii Dunia ina maharamia waona wafanya maisha yetu pengine yawe mafupi!
Maana sio nidham ya kula tu inayo fupisha masha yetu!!!
Jamii ambayo haina wazee ni rahisi sana kuyumbishwa!!!
 
Tena wazee wenye busara! Na heshima zao kuwapata hao umepata lulu

Achana na hawa wanaoitana bebii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natural selection
 
Watu weupe ndio wapuuzi kuliko weusi,weupe ni wanafiki sana na hawana ubinadamu hata chembe.

Huo ugonjwa umetengenezwa na hao unao wasifia.sisi weusi tuna ujinga wetu mdogo mdogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuokota vitu na kuvileta kama vilivyo. Umeahajiuliza kwanini Italy watu wanakufa sana kwa corona kuliko nchi zingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu weupe ndio wapuuzi kuliko weusi,weupe ni wanafiki sana na hawana ubinadamu hata chembe.

Huo ugonjwa umetengenezwa na hao unao wasifia.sisi weusi tuna ujinga wetu mdogo mdogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhakikishia tungekuwa na ''ujinga mdogo mdogo tu'' kama unavyosema wewe basi tungekuwa matajiri sana.
 
ndugu hii post yako hebu soma vizuri ulichaondika, inawezekana wewe ndio umepanic? wenzako wnawafikiria watu walionao karibu kama wazee, watoto na walio na matatizo ktk kinga zao za mwili halafu hiyo 0.02 unaweza kuwa ndio we wewe!!?
 
Nani amekudanganya Mkuu? Hebu angalia hapa chini;

Europe's 'youngest' coronavirus death: Spanish football coach dies from disease aged just 21
Luke Andrews For Mailonline
A 21-year-old Spanish football coach has died of coronavirus after doctors also diagnosed him with leukaemia.

Francisco Garcia, who managed the junior team of Malaga-based club Atletico Portada Alta, was rushed to hospital with severe symptoms of the virus.

But when he arrived doctors also identified the deadly blood cancer. They said he would have survived if he was not suffering from the pre-existing condition.

Europe's 'youngest' coronavirus death: Spanish football coach dies from disease aged just 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…