fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Wana wazee wengi sana na wazee ndio hazina kubwa kwenye mipango kazi!!Wamarekani wenyewe wanapanic sana..
Hali ni tete kila sehem.
Haswa kwenye kazi zao za kiharamia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana wazee wengi sana na wazee ndio hazina kubwa kwenye mipango kazi!!Wamarekani wenyewe wanapanic sana..
Hali ni tete kila sehem.
Ndo nia haswa mkuu.Wamarekani wenyewe wanapanic sana..
Hali ni tete kila sehem.
Hii nchi ina wazee wengi kweli kwa sababu life span yao ni kubwa sana..Wana wazee wengi sana na wazee ndio hazina kubwa kwenye mipango kazi!!
Haswa kwenye kazi zao za kiharamia!!
Life expectancy ya nchi kama USA na Japan iko juu sana, kukuta watu wana miaka 85 - 90 ni kawaida, huku Africa mtu kufika 60 tu ishu..Wana wazee wengi sana na wazee ndio hazina kubwa kwenye mipango kazi!!
Haswa kwenye kazi zao za kiharamia!!
Exactly! Alafu wazee huku hawataki kujizeesha! Utakuta babu wa miaka zaidi ya sitini anaenda beach kama kawaida yaani full kujichanganyaLife expectancy ya nchi kama USA na Japan iko juu sana, kukuta watu wana miaka 85 - 90 ni kawaida, huku Africa mtu kufika 60 tu ishu..
Kwanza miaka 60 hata ukifa Taifa halina hasara.....Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Na Italy pia mkuu!Life expectancy ya nchi kama USA na Japan iko juu sana, kukuta watu wana miaka 85 - 90 ni kawaida, huku Africa mtu kufika 60 tu ishu..
Tena wazee wenye busara! Na heshima zao kuwapata hao umepata luluNa Italy pia mkuu!
Huku kwetu kutoboa 60 kweli imekuwa shidah ma Babu zetu waliishi miaka mingi sana hii Dunia ina maharamia waona wafanya maisha yetu pengine yawe mafupi!
Maana sio nidham ya kula tu inayo fupisha masha yetu!!!
Jamii ambayo haina wazee ni rahisi sana kuyumbishwa!!!
Sasa huoni kuwa hata wewe unayejiona chuma ni kuwa ukipata huo ugonjwa hata kama uwezekeno wa kufa ni mdogo kabisa lakini bado utawaambukiza wengine wenye umri mkubwa na wenye magonjwa mengine? Huoni kuwa tusipochukuwa tahadhari baada ya muda dunia itakuwa imepoteza wazee wengi na watu waliokuwa na magojwa mengine kama pumu nk? Hilo kwako ni poa?
Exactly, natural selection and elimination are the tools of evolution, we become a stronger species by pruning the weak genomes from the gene poolNatural selection
Watu weupe ndio wapuuzi kuliko weusi,weupe ni wanafiki sana na hawana ubinadamu hata chembe.Ndugu yangu... wewe huna ndugu, jamaa na marafiki na hata binadamu wenzako wenye umri juu ya miaka 50? Au nilulize hivi: Hii dunia haina watu wenye umri zaidi ya miaka 50? Acha ubinafisi! Kwa kuwa jambo halikupati wewe basi usione halina hatari. Ndiyo maana huwa nasema waafirika bado tupo kwenye stages za mwanzoni za evolution kulinganisha na wazungu. Mwafrika kama kitu hakimhusu basi yeye ataweka mguu juu na kufurahia. Thanks, watu weupe wengi hawana mawazo kama haya. Huwa wanajali shida inapompata binadamu yoyote bilka kujali kama inawahusu.
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Nakuhakikishia tungekuwa na ''ujinga mdogo mdogo tu'' kama unavyosema wewe basi tungekuwa matajiri sana.Watu weupe ndio wapuuzi kuliko weusi,weupe ni wanafiki sana na hawana ubinadamu hata chembe.
Huo ugonjwa umetengenezwa na hao unao wasifia.sisi weusi tuna ujinga wetu mdogo mdogo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu hii post yako hebu soma vizuri ulichaondika, inawezekana wewe ndio umepanic? wenzako wnawafikiria watu walionao karibu kama wazee, watoto na walio na matatizo ktk kinga zao za mwili halafu hiyo 0.02 unaweza kuwa ndio we wewe!!?Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Nani amekudanganya Mkuu? Hebu angalia hapa chini;Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.02 ya waliokufa kwa Corona wako chini ya 50yrs, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa na nini?
Alikuwa na maradhi mengne piaKuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Sijamaanisha hivyoUnataka kusema ugonjwa wa wazee[emoji23]
Kuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari