mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Jitahid kusoma jaman mnadanganywa kuhusu iyo corona sio serious kihivyo
Jamaa uuko sawa inawaua wazee na wenye upungufu wa kika mwilin wenye magonjwa kama sukar na presha ila kwa mtu wa kawaida chinya miaka 60 si rahis kufa kwa corona
Wewe ni Muongo.Kuna kocha wa Spain mdogo tu kwa umri miaka 21 amefariki.
Usijidanganye mkuu chukua tahadhari
Ofcourse kwa mtu mwenye miaka 82 kuna uwezekano alikuwa na maradhi mengine tayariWewe ni Muongo.
Kocha wa Spain! Alafu miaka 21!
Aliyefariki ni Mama mzazi wa Pep Guadiola kocha wa Man City, amefia Spain akiwa na miaka 82.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki mbili zilizopita tumezika kaka tulisoma naye, hajafika miaka 50.Tuendelee kusali na kuomba
Nadhani tuifuatile hotuba aliyotoa Rais kwenye Ibada ya leo Jumapili, katoa muongozo very clearly...Wiki mbili zilizopita tumezika kaka tulisoma naye, hajafika miaka 50.
Dhahma ya ugonjwa si kufa tu, ukiumwa na kulazwa wiki tatu unaumia sana, kuanzia gharama za hospitali mpaka afya yako. Na bado hatujui vizuri long term effects zikoje.
Pia, kirusi kinabadilika kwa kasi sana.
Zaidi, hata mtu asipofariki, kwa sababu ni kijana, katika jamii yake hakosi mtu aliyezidi hiyo miaka 50 anaweza kumuambukiza.
Hizo sababu hazitoshi kuchukua tahadhari tu?
Rais kutoa muongozo wa mambo secular kutoka kanisani tu mpaka hapo hayupo clear huu muongozo ni secular au wa kidini?Nadhani tuifuatile hotuba aliyotoa Rais kwenye Ibada ya leo Jumapili, katoa muongozo very clearly...
Mlevi tena?Siyo kweli.Wale wanasheria waliopukutika walikuwa na umri chini ya 50.Ukiwa na umri chini ya miaka 50 halafu ukiwa na sifa moja kati ya hizi zifuatazo au ukiwa na zote jiandae kupukutika:
1.Bonge
2.Unaandamwa na magonjwa mengine
3.Mlevi
Ulevi huwa unashusha sana kinga ya mwili!Mlevi tena?
Si tulikubaliana alcohol ni sanitizer?
On a serious note, sijanywa pombe aina yoyote tangu January 3 2021.
Kwani wanaokufa sana nyakati hizi ni Wazee au vijana? Life span ikoje?Yap sema vifo ni kwa asilimia ndogo sana kwa chini ya umri huo lakini kuchukua tahadhari pia ni muhumu sana maana ule ni ugonjwa huwezi jua nani ataondoka kweye hiyo asilimia ndogo.
Na pia muathirika mwenye umri wa chini ya 50 ni threat kwa wenye zaidi ya hapo,kama unavyo jua huo ugonjwa unavyo enea kirahisi.
So tahadhari ni muhimu.
Kwani wanaokufa sana nyakati hizi ni Wazee au vijana? Life span ikoje?
Ubonge wao umeupima kwa macho au ni kwa kilo zao?Siyo kweli.Wale wanasheria waliopukutika walikuwa na umri chini ya 50.Ukiwa na umri chini ya miaka 50 halafu ukiwa na sifa moja kati ya hizi zifuatazo au ukiwa na zote jiandae kupukutika:
1.Bonge
2.Unaandamwa na magonjwa mengine
3.Mlevi
Wale wanasheria waliangukia kwenye kundi la kuwa mabonge.Hata dada yangu ambae nae alikuwa lawyer alikuwa bonge sana na hakuchukua 24hrs tokea aambukizwe akafa.
Usitupotoshe.Kuishi kwa viwango vya huyo raisi ni kukataa kuishi.Nadhani tuifuatile hotuba aliyotoa Rais kwenye Ibada ya leo Jumapili, katoa muongozo very clearly...