Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Jitahid kusoma jaman mnadanganywa kuhusu iyo corona sio serious kihivyo
Jamaa uuko sawa inawaua wazee na wenye upungufu wa kika mwilin wenye magonjwa kama sukar na presha ila kwa mtu wa kawaida chinya miaka 60 si rahis kufa kwa corona

Itakuwa vizuri kama utafata ushauri wako na kusoma uzuri juu ya kinachoelezwa na wataalamu wa tiba duniani juu ya ugonjwa huu.
 
Kweli? hebu twambie katika hospitali ya mji unaoishi wanazo respiratory machines gapi? Maana wagonjwa wanaofika stage ya kulazwa hospitali kwa sasa msaada mkubwa wanaopatiwa ni huo wa kutumia hizo respiratory machines. sasa niambiea hivi ni hospitali gani Tanzania ina hizo machine za kutosha za kuweza kuwahudumia wagonjwa kwa mamia?
 
Ifike mahala tuache kutishana tishana kwa vitu visivyo na msingi kwa maslahi binafsi
 
Tuendelee kusali na kuomba
Wiki mbili zilizopita tumezika kaka tulisoma naye, hajafika miaka 50.

Dhahma ya ugonjwa si kufa tu, ukiumwa na kulazwa wiki tatu unaumia sana, kuanzia gharama za hospitali mpaka afya yako. Na bado hatujui vizuri long term effects zikoje.

Pia, kirusi kinabadilika kwa kasi sana.

Zaidi, hata mtu asipofariki, kwa sababu ni kijana, katika jamii yake hakosi mtu aliyezidi hiyo miaka 50 anaweza kumuambukiza.

Hizo sababu hazitoshi kuchukua tahadhari tu?
 
Nadhani tuifuatile hotuba aliyotoa Rais kwenye Ibada ya leo Jumapili, katoa muongozo very clearly...
 
Siyo kweli.Wale wanasheria waliopukutika walikuwa na umri chini ya 50.Ukiwa na umri chini ya miaka 50 halafu ukiwa na sifa moja kati ya hizi zifuatazo au ukiwa na zote jiandae kupukutika:

1.Bonge

2.Unaandamwa na magonjwa mengine

3.Mlevi

Wale wanasheria waliangukia kwenye kundi la kuwa mabonge.Hata dada yangu ambae nae alikuwa lawyer alikuwa bonge sana na hakuchukua 24hrs tokea aambukizwe akafa.
 
Mlevi tena?

Si tulikubaliana alcohol ni sanitizer?

On a serious note, sijanywa pombe aina yoyote tangu January 3 2021.
 
Yap sema vifo ni kwa asilimia ndogo sana kwa chini ya umri huo lakini kuchukua tahadhari pia ni muhumu sana maana ule ni ugonjwa huwezi jua nani ataondoka kweye hiyo asilimia ndogo.

Na pia muathirika mwenye umri wa chini ya 50 ni threat kwa wenye zaidi ya hapo,kama unavyo jua huo ugonjwa unavyo enea kirahisi.

So tahadhari ni muhimu.
Kwani wanaokufa sana nyakati hizi ni Wazee au vijana? Life span ikoje?
 
Kwa hiyo wakifa wazee wetu ni sawa tu tunawajibika kulinda afya za wazee wetu hata angekuwa mmoja huwez jua atalifanyia nini taifa hili....Unaweza wewe kijana isikusumbue ila ukawa carrier ukampelekea Baba yako ugonjwa.
 
Siyo kweli.Wale wanasheria waliopukutika walikuwa na umri chini ya 50.Ukiwa na umri chini ya miaka 50 halafu ukiwa na sifa moja kati ya hizi zifuatazo au ukiwa na zote jiandae kupukutika:

1.Bonge

2.Unaandamwa na magonjwa mengine

3.Mlevi

Wale wanasheria waliangukia kwenye kundi la kuwa mabonge.Hata dada yangu ambae nae alikuwa lawyer alikuwa bonge sana na hakuchukua 24hrs tokea aambukizwe akafa.
Ubonge wao umeupima kwa macho au ni kwa kilo zao?
 
Back
Top Bottom