Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

kipaji cha ubishi unacho utafika mbali
 
Kwa nafasi anayocheza kibu huwez kumshindanisha kwa harakati, unamshindanisha kwa magoli tu.
 
Kwa nafasi anayocheza kibu huwez kumshindanisha kwa harakati, unamshindanisha kwa magoli tu.
Kibu kwa sasa anafanya kazi aliyotumwa uwanjani ndiyo maana akiwa fit ana uhakika wa kuanza katika kikosi cha Simba. Hakuna mwanasimba au kocha wa Simba anayemlalamikia kwa kutofunga magoli maana hilo siyo jukumu lake la msingi.
 
Duuu, kumbe kuna wachezaji hawaruhusiwi kufunga
Ndiyo uelewa wako ulipoishia hapo?

Kibu ana uhakika wa namba kuliko Kyombo na Sakho ambao wamefunga magoli hivi karibuni na wanaweza cheza namba yake. Litafakari hilo utapata majibu yote.
 
Ndiyo uelewa wako ulipoishia hapo?

Kibu ana uhakika wa namba kuliko Kyombo na Sakho ambao wamefunga magoli hivi karibuni na wanaweza cheza namba yake. Litafakari hilo utapata majibu yote.
Kibu hawezi kuanza mbele ya sacko
 
Kibu kwa sasa anafanya kazi aliyotumwa uwanjani ndiyo maana akiwa fit ana uhakika wa kuanza katika kikosi cha Simba. Hakuna mwanasimba au kocha wa Simba anayemlalamikia kwa kutofunga magoli maana hilo siyo jukumu lake la msingi.
Wanasimba wote huwa tunalalamika Kibu anapokosa magoli. Acha upotoshaji, yaani jukumu la mchezaji no 10 uwanjani unasema sio kufunga? We ni taahira?
 
Kibu hawezi kuanza mbele ya sacko
Tusubiri tuone mechi chache muhimu zijazo dhidi ya Wydad na Yanga ataanza nani. Hakuna mechi ya muhimu ya hivi karibuni ya Simba ambayo Kibu alikuwa fiti halafu hakuanza.
 
Wanasimba wote huwa tunalalamika Kibu anapokosa magoli. Acha upotoshaji, yaani jukumu la mchezaji no 10 uwanjani unasema sio kufunga? We ni taahira?
Niambie kati ya mechi 10 zilizopita za Simba, mechi ambayo Kibu alikosa goli hata moja la wazi. Jana Mayele kakosa magoli mangapi?

Goli la pili la juzi dhidi ya Ihefu, angekuwa mtu mwingine yoyote angejaribu kufunga mwenyewe na Kibu angeweza kufunga pale ila kama nilivyokwambia anaelewa jukumu lake la msingi na alilitekeleza vizuri, leo hii tunamshangilia Baleke.

Pia, Kibu hachezi kama no 10 kwa sasa.
 
Ana assist ngp
 
Kibu hata Ihefu hapati namba ni kwa vile Simba mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…