ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
kipaji cha ubishi unacho utafika mbaliUkipata nafasi angalia tena mechi na Raja kule Morocco halafu uniambie Denis Kibu ni mchezaji mbovu. Matter of fact, angalia game yoyote kati ya 10 zilizopita za Simba.
Katika vikosi vyote vya Simba na Yanga, naweza kusema ndiye mchezaji anayecheza mpira kwa usahihi sasa hivi.