Nilimsahau Scars "Onyango atamzidi Mayele magoli"Ningependa kuwaaga rasmi sitokuwa natoa updates tena katika huu uzi na najitoa rasmi kuanzia leo ,naona maji yameshajitenga na mafuta. Nachukua fursa kuomba radhi kama nilikwaza katika kipindi chote cha Takwimu.
Cc : OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Tate Mkuu Dr Matola PhD kelphin
Kwa mweli nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kutupatia updates za mara kwa mara tangu uzi huu ulipoanzishwa!Ningependa kuwaaga rasmi sitokuwa natoa updates tena katika huu uzi na najitoa rasmi kuanzia leo ,naona maji yameshajitenga na mafuta. Nachukua fursa kuomba radhi kama nilikwaza katika kipindi chote cha Takwimu.
Cc : OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Tate Mkuu Dr Matola PhD kelphin
Hongera sana Mkuu kwa kazi nzito aliyokupatia mleta uzi nina imani kupitia huu uzi kuna mengi amejifunza.Ningependa kuwaaga rasmi sitokuwa natoa updates tena katika huu uzi na najitoa rasmi leo ,naona maji yameshajitenga na mafuta. Nachukua fursa kuomba radhi kama nilikwaza katika kipindi chote cha Takwimu.
Cc : OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Tate Mkuu Dr Matola PhD kelphin
😂😂😂Tokapa
imechekaaTokapa
Kwakweli ni ruksa na ukweli ulishajurikana, hii thread ni useless kwa sasa.Ningependa kuwaaga rasmi sitokuwa natoa updates tena katika huu uzi na najitoa rasmi kuanzia leo ,naona maji yameshajitenga na mafuta. Nachukua fursa kuomba radhi kama nilikwaza katika kipindi chote cha Takwimu.
Cc : OKW BOBAN SUNZU Shadeeya Tate Mkuu Dr Matola PhD kelphin
Kufutwa hapana. Huu Uzi utunzwe Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kwamba kuliwahi kuwa na Mwana JF mashuhuri akiitwa OKWI BOBAN SUNZU ambaye Kila alichotabiri kilikuja kinyume chake.Kwa mweli nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kutupatia updates za mara kwa mara tangu uzi huu ulipoanzishwa!
Na mpaka sasa tayari mafuta yameshajitenga na maji! Hivyo nawashauri Moderator waufute tu huu uzi. Maana umekuwa outdated.
Lakini naamini pia mtoa mada amejifunza kitu. Wakati mwingine atapunguza mihemko na kukurupuka.
Sokapo (Kinyakyusa).Tokapa
Washahamisha goli makolo 😀Kwahiyo sasa tumehamia kwa mkewe tunaomba na mke wa kibudenga
Kufutwa hapana. Huu Uzi utunzwe Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kwamba kuliwahi kuwa na Mwana JF mashuhuri akiitwa OKWI BOBAN SUNZU ambaye Kila alichotabiri kilikuja kinyume chake.
Hahahaa! Kwa kweeli.Kufutwa hapana. Huu Uzi utunzwe Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kwamba kuliwahi kuwa na Mwana JF mashuhuri akiitwa OKWI BOBAN SUNZU ambaye Kila alichotabiri kilikuja kinyume chake.
Upelekwe makumbushoKufutwa hapana. Huu Uzi utunzwe Kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo kwamba kuliwahi kuwa na Mwana JF mashuhuri akiitwa OKWI BOBAN SUNZU ambaye Kila alichotabiri kilikuja kinyume chake.
Vipi ile ya KIBU D MKANDAJI nayo umepata muda wa kuiangalia au umeishia tu hiyo ya mayele ?leo nlikua nkiangalia marudio ya game yetu na simba nkakumbuka uzi huu
hakika mayele ni mwamba
ndugu yetu alianzisha vita akaambaa mwenyewe
kwa hakika ahsante MAYELE
zote pamoja mkluuVipi ile ya KIBU D MKANDAJI nayo umepata muda wa kuiangalia au umeishia tu hiyo ya mayele ?View attachment 2712851