Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Wewe jamaa hua unavituko
 
Mayele ni sawa na Kibu 10, ila tuache kumlinganisha na vitu vya kijinga.
 
Mayele ni straika na sio winga au namba 10. Kwa hiyo tumfananishe na straika wenzake akina Bocco, Kagere na Mugalu.
Feisali no 10 tumfananishe na no 10 mwenzake Sakho. 😁 🀣
 
View attachment 2058407

umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Kweli kabisa hata mimi nimekubali maji yameanza kujitenga na mafuta! 😁😁😁 Kibu chaliii! Mayele anaendelea tu kutupia!

Yaani mpaka waamuzi wameamua kuingilia kati kwa kumtengenezea offside fake, ili tu kumpunguza kasi! Lakini wapi!! 😬😬
 

Bila shaka muda huu utakuwa unawaza, hivi ni Makolo mimi kweli niliye andika hapa au Makolo mwingine? 😁😁😁

πŸ—£οΈ Mayeleeee!!! Mzee wa kutetema!!
 
Unabwatukaga, tuma salamu kwa watu watatu [emoji441]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…