Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]za saizi kolo
 
Mayele ndio kaibeba Yanga msimu huu mpaka kuchukua ubingwa. Japokuwa Mayele ana magoli machache kulinganisha na idadi ya mechi alizocheza, lakini yeye ndio mwenye magoli mengi, assist nyingi na magoli mengi ya kuipa ushindi timu yake msimu huu.

Kwa maoni yangu, Mayele ni mchezaji wa kiwango cha kawaida kiufungaji japokuwa ni mfungaji bora kwa msimu huu.
 
Ssa kama mayele wakawaida mugali itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…