Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Naomba updates za huu uzi..
[emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kukanyaga hapa hata kwa bahati mbaya
1659772209139.jpg
 
Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa

Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.

Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki

Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Vp hii
 
Unatumia mda mwingi kuandika pumba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mayele atawapiga mpaka mchakae,, ni vizuri wanasimba mkatubu kwa mwamposa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa anauchungulia uzi wake anaupita Kama auoni vile hana hamu na mayele[emoji1436][emoji1436]
Punguani limeanzisha Uzi mwingine aziz k tumepigwa milioni 400[emoji16][emoji16][emoji16] wakati huu huku kaukimbia
 
Back
Top Bottom