Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pazia la ushambuliajiHahahahaahahaha,kibu mechi 15 goli 1
Straika tegemeo la Taifa Stars lililoombewa uraia na Serikali....teh eeeeeeeeeehhh.pazia la ushambuliaji
Serikali ya ccm haijawahi kuwa serious! Bora hata wangempa uraia Fiston Kalala Mayele!Straika tegemeo la Taifa Stars lililoombewa uraia na Serikali....teh eeeeeeeeeehhh.
Hii picha ni kwa hisani ya OKW BOBAN SUNZU.Ukome kiherehereView attachment 2453568
Mkuu unafaa uwe admin wa huu uzi maana kila updates kuhusu huu uzi lazima utoe kwa wakati.14 kwa 1