Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
uchungu ni mkali kwa kweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uchungu ni mkali kwa kweli...
huu uzi mods waunganishe na ule wa riki boy ndio nyuzi pendwa humu jfUzi pendwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Habar😂utasikia mtu anavimba anasema unamujua mayelee wewe
We kwel?Round ya pili mnayoisubiri ndio atazidi kuwa takataka kabisa
AIseeNa tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Wewe jamaa hua haumuachii nafasi [emoji23][emoji23]Takwimu ni nini?
Takwimu ni neno la kiswahili ambalo hutumika kuonesha kiwango cha kupanda au kushuka cha jaribio,hari,au matokeo furani
Neno hili hutumika pia kuamua ubora wa kitu/mtu baada ya kua na machaguo mengi kuzidi lile analoshindanishiwa
Mnapenda niendelee na somo ndugu zangu?[emoji28][emoji28]
Wewe jamaa hua haumuachii nafasi [emoji23][emoji23]
Mnafukua makaburi
Huu uzi sijawahi kuufungua ila binafsi sasa hivi navutiwa zaidi kumuangalia Denis Kibu akicheza kuliko Mayele.