Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa

Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.

Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki

Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
AIsee
 
Takwimu ni nini?

Takwimu ni neno la kiswahili ambalo hutumika kuonesha kiwango cha kupanda au kushuka cha jaribio,hari,au matokeo furani

Neno hili hutumika pia kuamua ubora wa kitu/mtu baada ya kua na machaguo mengi kuzidi lile analoshindanishiwa


Mnapenda niendelee na somo ndugu zangu?[emoji28][emoji28]
Wewe jamaa hua haumuachii nafasi [emoji23][emoji23]
 
View attachment 2058407

umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
17FE280B-D19C-4438-A404-843C116BEB77.jpeg

This 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom