LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Toka hapa kilaza
hata wewe unavyompinga sa100 wafuasi wake wakina chiembe na ChoiceVariable ndio wanasema hivyo hivyo
 
Kwa mambo tuliyoshuhudia kwenye zoezi la kuandikisha wapiga kura inahitaji akili ya maiti kuziamini takwimu hizi. Kodi zetu zinachezewa kwenye maigizo ya kinachoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni bora hata waakachwa hao walioko madarakani waendele tu kuliko kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kwenye huu uhuni. Uchaguzi huu ufutwe tu tusipoteze hela zetu bora hizo hela zielekezwe kwenye huduma za afya na elimu.
 
Kama wamefikia makadirio na kuyavuka basi ni jambo jema ningeshangaa ungeniambia kuwa ididi iliyo Andikiswa imevuka idadi ya Watanzania
 
Unawajua mafisadi walio nyuma ya gesi ndiyo hao walikuwa wanawatumia kina zitto na nape na chadema kwa mtindo huo ulioueleza wewe ....watz wanachotaka ni umeme wa uhakika na wa bei nafuu je gesi ilileta hayo ...je jpm alipochukua nchi hali ya umeme ilikuwaje nchini dar yote ilikuwa ni kelele za generator....sasa kama gesi ilishindwa kutatua tatizo kulikuwa kunatakiwa nini kifanyike zaidi ya kutafuta chanzo makini cha umeme wa uhakika ...sasa mtu ana anzaje kupinga kitu kama hicho kama siyo kibaraka wa wahuni walio kuwa nanakcheza michezo michafu kwenye sekta ya umeme kwa kujinufaisha wao na familia zao ....nilisema wapinzani walitumika dhidi ya maendeleo ndiyo kayo uliyo yasema kupinga bwawa la umeme ni kielelezo cha kupigsnia mafisadi yaliyo kuwa nyuma ya miradi michafu ya kifisadi ya umeme.
 
Rais naye anafurahia kudanganywa. Kwa staili hii hata Sudan ya Kusini watatuacha kimaendeleo huku tunabaki kukimbiza mwenge tu kama vichaa.
 
Kwani Zitto, Nape na CHADEMA sio Watanzania??
 
Mwaka 2015 walijiandikisha wapiga kura 15m+, ile misururu kila mtu alioona, huu una wapiga kura 31m+ hakuna popote palipokuwa msururu!
 
Hili jambo ni hatari sana. Litolewe maelezo na vyombo husika mapema iwezekanavyo. Tukiwa na viongozi wanaoishi na kufanya kazi kiujanjaujanja,tunaua Taifa la kesho.
 
Kwani Zitto, Nape na CHADEMA sio Watanzania??
Kwani nilipo sema vyama vya upinzani kutumika kuhujumu wewe unadhani siyo watz waliokuwa ndani ya hivyo vyama ...tatizo wapinzani wana akili ndogo hivyo kutumika kuhujumu nchi yao wenyewe ni rahisi tu tatizo akili .. wewe unamuona NAPE NA ZITTO WANAZO AKILI KICHWANI
 
Sasa kwanini umejikta na CHADEMA na Mbowe tu badala ya kujikita na "wapumbavu wazoefu"??
Kwa sababu ndiyo wanajitukuza kuwa chama kikuu cha upinzani ...uelewi nini hapo..tatizo ni hiyo taito wanajo jitukuza naya kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani huku hawana AKILI YOYOTE
 
Hapo shida ipo wapi Wakuu?

Mtu mwenye miaka 16 mwaka 2022 wakati wa sensa leo ana 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa daftari la mkazi na la mpiga kura.

Ikumbukwe hawa ni wanadamu wanaweza kuhama eneo moja kwenda lingine pia hivyo idadi kupungua au kuongezeka sio kitu chakushangaza.

Pia modality ya uandikishaji watu wakati wa sensa ni tofauti na uandikishaji wapiga kura. Sensa walikuwa wanatembelea watu kwenye kila makazi hivyo wengi walihesabiwa. Sasa kura ni watu wanaenda kujiandikisha kwenye vituo hivyo baadhi wameamua kutokujiandikisha pia.

Maadamu hawa ni wanadamu ambao wanaongezeka umri, wanafariki, wanahama na wanauwezo wa kutokujiandikisha basi sishangai takwimu ya idadi kupishana, wala mtu hapaswi kushangaa huo mpishano.
 
Reactions: Tui
Huyu Mama hatawali nchi,nchi imetekwa na Wahuni na Rais yupo kama picha tu.
JWTZ wanawakosea sana Watanzania!!
Huyo mama ni RAIA FEKI ...KULIKUWA NA AJENDA YA RAIA FEKI KUSHIKA HATAMU NDIYO IMETIMIA KIPINDI HIKI CHA SAMIA ...
HII LOGIC NINAYO SEMA KILA SIKU WATU WANASHINDA KUIFUMBUA NINI MAANA YAKE KIMANTIKI LOGIK YENYEWE INASEMA

💥💥💥 SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO MAGUFULI JE NINI MAANA YAKE ?💥💥💥

Hii logic imebeba siri kubwa sana kumuhusu huyu kiumbe samia.
 
Wengine wamejiandikisha zaidi ya vituo sita ili mradi tu itangazwe kuvunjwa kwa rekodi isiyojulikana
 
Watu walio jiandikisha nchi nzima siyo zaidi ya milioni 1.5 tena asilimia 90 ya hao milioni moja ni CCM ..Tena majina yameingizwa moja kwa moja kutoka wanachama wa ccm ...yaani yamechukuliwa majina ya wanachama wa ccm na kuamishiwa moja kwa moja kwenye hayo madaftari
 
Nimecheka kama mazuri, lile daftari ilikua upumbavu mitupu
 
Huu ujinga wa hali ya juu, CCM wanaona watanzania wajinga.
Wewe ndio mzigo watu wanaongezeka sababu ya kuhamia sio kwa kuzaliwa tu
Kuna wafugaji wanahama hama kuna watu wapya wanahamia sababu za kikaxi kibiashara nk

Pili kumbuka sensa ilihesabu wale tu wiokuwepo siku hiyo haikuhesabu wakazi wa maeneo hayo ambao hawakuwepo walikuwa safarini nje ya mikoa yao
 
Yeye na wateule wake ni kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…