Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es Salaam
Sensa
3,599,244 Milioni– Waliojiandisha
3,483,970 Milioni
Mwanza
Sensa
1.95 Milioni – Waliojiandikisha
2.08 Milioni
Dodoma
Sensa
1.71 Milioni – Waliojiandisha
1.78 Milioni
Tabora
Sensa
1.65 Milioni - Waliojiandisha -
1.43 Milioni
Kagera
Sensa
1.56 Milioni– Waliojiandisha
1.52 Milioni
Tanga
Sensa
1.46 Milioni Waliojiandisha
1.62 Milioni
Geita
Sensa
1.44 Milioni – Waliojiandikisha
1.33 Milioni
Mbeya
Sensa
1.35 Miliini– Waliojiandikisha
1.27 Milioni
Arusha
Sensa
1.3 Milioni – Waliojiandikisha
1.24 Milioni
Pwani
Sensa
1.2 Milioni – Waliojiandikisha
1.37 Milioni
Kigoma
Sensa
1.2 Milioni – Waliojiandikisha
1.17 Milioni
Mara
Sensa
1.17 Milioni – Waliojiandikisha
965,860
Kilimanjaro
Sensa
1.17 Milioni – Waliojiandikisha
1.09 Milioni
Shinyanga
Sensa
1.15 Milioni – Waliojiandikisha
1.1 Milioni
Ruvuma
Sensa
1.07 Milioni– Waliojiandikisha
989,241 Laki
Mtwara
Sensa
1 Milioni – Waliojiandikisha
862,374 Laki
Singida
Sensa
1 Milioni – Waliojiandisha
946,467 Laki
Simiyu
Sensa
996,633 Laki – Waliojiandikisha
815,056 Laki
Manyara
Sensa
991,317 Laki – Waliojiandisha
895,696 Laki
Rukwa
Sensa
744,778 Laki – Waliojiandisha
480,987 Laki
Lindi
Sensa
744,442 Laki – Waliojiandisha
648,076 Laki
Songwe
Sensa
716,510 Laki – Waliojiandisha
696,746 Laki
Iringa
Sensa
701,384 Laki – Waliojiandisha
704,634 Laki
Katavi
Sensa
553,284 Laki – Waliojiandisha
473,724 Laki
Njombe
Sensa
532,067 Laki – Waliojiandisha
457,317 Laki