LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
J

Siku zote anapotokea kiongozi mzuri na makini basi wewe jua tu huyo mtu lazima atapata maadui wabaya sana na wenye nguvu sana hii ni kanuni hipo hata kwenye vitabu vyenu vya dini mfano daudi ..daniel ...yesu ...muhammad...nk walikutana na hayo mambo na hapo ndipo maadui wanatumia siasa virus kuhalifu jambo jema....wewe ukipata uongozi sehemu yoyote ukaanza kufsnya mambo kwa uhadilifu wale wanufaika wa mambo maovu watakuchukia ...ukisnza kufunga milango ya wizi na usisadi utachukiwa vibaya sana .. .unsjua kwa nini ?
Toka hapa kilaza
hata wewe unavyompinga sa100 wafuasi wake wakina chiembe na ChoiceVariable ndio wanasema hivyo hivyo
 
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!


Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Kwa mambo tuliyoshuhudia kwenye zoezi la kuandikisha wapiga kura inahitaji akili ya maiti kuziamini takwimu hizi. Kodi zetu zinachezewa kwenye maigizo ya kinachoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni bora hata waakachwa hao walioko madarakani waendele tu kuliko kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kwenye huu uhuni. Uchaguzi huu ufutwe tu tusipoteze hela zetu bora hizo hela zielekezwe kwenye huduma za afya na elimu.
 
View attachment 3133165
Nimeona kwenye magroup ya watsap data hii ambayo haijatolewa na NBS. wanaoisambaza wanaitumia kukejeli taarifa ya Mh. Waziri juu ya uandikishaji wa daftari la wakaazi.

Ingawa imekuwa culled down mtandaoni, lakini inakaribiana na ukweli wa data ambazo ziko publicly available.
Ukiangalia trend hapo ni kuwa kila mwaka isipokuwa mwaka 2009 walioandikishwa ni pungufu ya makadirio, Mwaka huu pia makadirio hayakufikiwa kila mahali.

Kuna discrepancy ndogo tu kwa mikoa ya Mwanza na Dodoma ambayo ni rahisi kueleweka kwa sababu haya ni majiji yanayokua yamkini kuna wahamiaji wengi kutoka nchi nzima ambao wako range ya umri huo.
Sioni hoja yoyote ya kupanikisha mtu hapo. Katibu wa Uenezi wa CCM ndg Amos Makala amesema jana kuwa Chama chake kimeridhishwa na uandikishaji. Twendeni kwenye uchaguzi acheni kulialia.
Kama wamefikia makadirio na kuyavuka basi ni jambo jema ningeshangaa ungeniambia kuwa ididi iliyo Andikiswa imevuka idadi ya Watanzania
 
Maadui gani waliokuwa wanataka kukwamisha maendeleo ya Tanzania na kwa sababu zipi?

Wapinzani walipingaje maendeleo wakati wa JPM? Mtu akisema hataki umeme wa maji bali anataka wa gesi kama Zitto au Nape anakuwa amepinga maendeleo? Mtu akisema hataki serikali inununue ndege badala yake ijenge barabara za lami vijijini anakuwa amepinga maendeleo? Mtu akisema hataki SGR kwanza badala yake anataka maji safi na hospital zenye madaktari kwanza anakuwa amepinga maendeleo? Mtu akisema mkivunja mikataba ambayo serikali ilisaini mtashitakiwa anakuwa anapinga maendeleo?

Kama Wapinzani wanadharauliwa na raia kwa kumpinga JPM kwa nini suala la Tume huru ya uchaguzi bado ni shida? Kwa nini uandikishaji wa serikali za mitaa umejaa sarakasi? Kwa nini maandamano ya upinzani yanazuiliwa kwa nguvu kubwa?
Unawajua mafisadi walio nyuma ya gesi ndiyo hao walikuwa wanawatumia kina zitto na nape na chadema kwa mtindo huo ulioueleza wewe ....watz wanachotaka ni umeme wa uhakika na wa bei nafuu je gesi ilileta hayo ...je jpm alipochukua nchi hali ya umeme ilikuwaje nchini dar yote ilikuwa ni kelele za generator....sasa kama gesi ilishindwa kutatua tatizo kulikuwa kunatakiwa nini kifanyike zaidi ya kutafuta chanzo makini cha umeme wa uhakika ...sasa mtu ana anzaje kupinga kitu kama hicho kama siyo kibaraka wa wahuni walio kuwa nanakcheza michezo michafu kwenye sekta ya umeme kwa kujinufaisha wao na familia zao ....nilisema wapinzani walitumika dhidi ya maendeleo ndiyo kayo uliyo yasema kupinga bwawa la umeme ni kielelezo cha kupigsnia mafisadi yaliyo kuwa nyuma ya miradi michafu ya kifisadi ya umeme.
 
Nchii ambayo haina Transparency na Accountability Kuendelea Ni Vigumu sana..
Lazima Tuwe Accountable kwa Matatizo tunayosababisha..

Kama Watu hawakujiandikisha wa Kujitosheleza Ilipaswa Waziri awe accountable na sio Kutengeneza Data ili kumuonyesha Rais kwamba Alifanya kazi

Wanamdanganya Sana Rais
Rais naye anafurahia kudanganywa. Kwa staili hii hata Sudan ya Kusini watatuacha kimaendeleo huku tunabaki kukimbiza mwenge tu kama vichaa.
 
Unawajua mafisadi walio nyuma ya gesi ndiyo hao walikuwa wanawatumia kina zitto na nape na chadema kwa mtindo huo 8lio eleza wewe ....watz wanachotaka ni umeme wa uhakika na wabei nafuu je gesi ilileta hayo je jpm alipochukua nchi ali ya umeme ilikuwaje nchini dar yste ilikuwa ni kelele za generator....sasa kama gesi ilishindwa kutatua tatizo kulikuwa kunatakiwa nini kifanyike zaidi ya kutafuta chanzo makini cha umeme wa uhakika ...sasa mtu ana anzaje kupinga kitu kama hicho kama siyo kibaraka wa wahuni walio kuwa nanakcheza michezo michafu kwenye sekta ya umeme kwa kujinufaisha wao na familia zao ....nilisema wapinzani walitumika dhidi ya maendeleo ndiyo kayo uliyo yasema kupinga bwawa la umeme ni kielelezo cha kupigsnia mafisadi yaliyo kuwa nyuma ya miradi michafu ya kifisadi ya umeme.
Kwani Zitto, Nape na CHADEMA sio Watanzania??
 
View attachment 3133165
Nimeona kwenye magroup ya watsap data hii ambayo haijatolewa na NBS. wanaoisambaza wanaitumia kukejeli taarifa ya Mh. Waziri juu ya uandikishaji wa daftari la wakaazi.

Ingawa imekuwa culled down mtandaoni, lakini inakaribiana na ukweli wa data ambazo ziko publicly available.
Ukiangalia trend hapo ni kuwa kila mwaka isipokuwa mwaka 2009 walioandikishwa ni pungufu ya makadirio, Mwaka huu pia makadirio hayakufikiwa kila mahali.

Kuna discrepancy ndogo tu kwa mikoa ya Mwanza na Dodoma ambayo ni rahisi kueleweka kwa sababu haya ni majiji yanayokua yamkini kuna wahamiaji wengi kutoka nchi nzima ambao wako range ya umri huo.
Sioni hoja yoyote ya kupanikisha mtu hapo. Katibu wa Uenezi wa CCM ndg Amos Makala amesema jana kuwa Chama chake kimeridhishwa na uandikishaji. Twendeni kwenye uchaguzi acheni kulialia.
Mwaka 2015 walijiandikisha wapiga kura 15m+, ile misururu kila mtu alioona, huu una wapiga kura 31m+ hakuna popote palipokuwa msururu!
 
Hao wahamiaji wanatoka Sehemu gani kwenda Sehemu gani kwanini wakihama Hiyo sehemu wanapotoka Kusionekane Upungufu wa watu..

Watu wengi sana hawajajiandikisha (Ninaweza nikaamni hivyo)..

Then imekuaje Idadi imekuwa Kubwa..

Tuhojioane kwa facts Wala sio mpango wangu kupinga jitihada za serikali ila Kuuliza wakati mwingine kupata Reasoning sio ujinga..

Mkoa wa Mwanza; Sensa ya Watu na Makazi 2022. Waliokuwa na miaka 16 na kuendelea ni 1.95 milioni

Mkoa wa Mwanza; Waliojiandikisha kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa mwaka 2024 ni watu 2.08 milioni

Ongezeko limekuwa Kubwa Kuliko idadi husika Means watu zaidi ya laki kadhaa na ushee wamehamia vipi huko walikohama mbona hakuna upungufu??

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 Jumla ya watu Tanzania ni 61,741,120. Ukitoa jumla ya watu wote na idadi ya watoto unabaki na watu wazima 30,700,956.

Watu wanaostahili kupiga kura kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 ni 26,597,464. Waliojiandikisha kupiga kura ni watu 31,282,331

Kwamba OR-TAMISEMI wameandikisha wapiga kura katika daftari la mkaazi kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa zaidi ya idadi ya watu wazima katika SENSA?

Ofisi ya Rais - TAMISEMI inasema watu 4,684,867 wamepanda umri kutoka kwenye watoto ndani ya mwaka mmoja na ushee?

Ofisi ya Rais - TAMISEMI wanasema Dar es Salaam wamejiandikisha wapiga kura 3,483,970.

Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Dar es Salaam ina jumla ya wakazi 5,383,728. TAMISEMI wanasema zaidi ya nusu wamejiandikisha kupiga kura.
Hili jambo ni hatari sana. Litolewe maelezo na vyombo husika mapema iwezekanavyo. Tukiwa na viongozi wanaoishi na kufanya kazi kiujanjaujanja,tunaua Taifa la kesho.
 
Kwani Zitto, Nape na CHADEMA sio Watanzania??
Kwani nilipo sema vyama vya upinzani kutumika kuhujumu wewe unadhani siyo watz waliokuwa ndani ya hivyo vyama ...tatizo wapinzani wana akili ndogo hivyo kutumika kuhujumu nchi yao wenyewe ni rahisi tu tatizo akili .. wewe unamuona NAPE NA ZITTO WANAZO AKILI KICHWANI
 
Sasa kwanini umejikta na CHADEMA na Mbowe tu badala ya kujikita na "wapumbavu wazoefu"??
Kwa sababu ndiyo wanajitukuza kuwa chama kikuu cha upinzani ...uelewi nini hapo..tatizo ni hiyo taito wanajo jitukuza naya kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani huku hawana AKILI YOYOTE
 
Hapo shida ipo wapi Wakuu?

Mtu mwenye miaka 16 mwaka 2022 wakati wa sensa leo ana 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa daftari la mkazi na la mpiga kura.

Ikumbukwe hawa ni wanadamu wanaweza kuhama eneo moja kwenda lingine pia hivyo idadi kupungua au kuongezeka sio kitu chakushangaza.

Pia modality ya uandikishaji watu wakati wa sensa ni tofauti na uandikishaji wapiga kura. Sensa walikuwa wanatembelea watu kwenye kila makazi hivyo wengi walihesabiwa. Sasa kura ni watu wanaenda kujiandikisha kwenye vituo hivyo baadhi wameamua kutokujiandikisha pia.

Maadamu hawa ni wanadamu ambao wanaongezeka umri, wanafariki, wanahama na wanauwezo wa kutokujiandikisha basi sishangai takwimu ya idadi kupishana, wala mtu hapaswi kushangaa huo mpishano.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Huyu Mama hatawali nchi,nchi imetekwa na Wahuni na Rais yupo kama picha tu.
JWTZ wanawakosea sana Watanzania!!
Huyo mama ni RAIA FEKI ...KULIKUWA NA AJENDA YA RAIA FEKI KUSHIKA HATAMU NDIYO IMETIMIA KIPINDI HIKI CHA SAMIA ...
HII LOGIC NINAYO SEMA KILA SIKU WATU WANASHINDA KUIFUMBUA NINI MAANA YAKE KIMANTIKI LOGIK YENYEWE INASEMA

💥💥💥 SAMIA ANAMCHUKIA NYERERE NA KARUME KULIKO MAGUFULI JE NINI MAANA YAKE ?💥💥💥

Hii logic imebeba siri kubwa sana kumuhusu huyu kiumbe samia.
 
Wengine wamejiandikisha zaidi ya vituo sita ili mradi tu itangazwe kuvunjwa kwa rekodi isiyojulikana
 
Watu walio jiandikisha nchi nzima siyo zaidi ya milioni 1.5 tena asilimia 90 ya hao milioni moja ni CCM ..Tena majina yameingizwa moja kwa moja kutoka wanachama wa ccm ...yaani yamechukuliwa majina ya wanachama wa ccm na kuamishiwa moja kwa moja kwenye hayo madaftari
 
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!

Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni

Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni

Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni

Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni

Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni

Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni

Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni

Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni

Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni

Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni

Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni

Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860

Kilimanjaro

Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni

Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni

Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki

Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki

Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki

Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki

Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki

Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki

Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki

Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki

Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki

Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki

Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Nimecheka kama mazuri, lile daftari ilikua upumbavu mitupu
 
Huu ujinga wa hali ya juu, CCM wanaona watanzania wajinga.
Wewe ndio mzigo watu wanaongezeka sababu ya kuhamia sio kwa kuzaliwa tu
Kuna wafugaji wanahama hama kuna watu wapya wanahamia sababu za kikaxi kibiashara nk

Pili kumbuka sensa ilihesabu wale tu wiokuwepo siku hiyo haikuhesabu wakazi wa maeneo hayo ambao hawakuwepo walikuwa safarini nje ya mikoa yao
 
Nchii ambayo haina Transparency na Accountability Kuendelea Ni Vigumu sana..
Lazima Tuwe Accountable kwa Matatizo tunayosababisha..

Kama Watu hawakujiandikisha wa Kujitosheleza Ilipaswa Waziri awe accountable na sio Kutengeneza Data ili kumuonyesha Rais kwamba Alifanya kazi

Wanamdanganya Sana Rais
Yeye na wateule wake ni kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom