Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

Uwanja mpya wa Ndege wa Ouagadougou-Donsin Airport unaojengwa na dogo Traore alikuta umeshaanza kujengewa mwaka 2021, akafuta mkataba wa ujenzi uliokuwepo na kuleta kampuni nyingine ya ujenzi. Hata hivyo mipango ya ujenzi wa huu uwanja mpya ilianza enzi za dikteta mwingine aliyetimuliwa, Blaise Compaore.
 
Mara nyingi Nchi ikiwekewa vikwazo kama Burkinafaso, Zimbabwe taarifa za IMF huwa wanatoa mbaya tu kama Zimbabwe ila ukienda Zimbabwe miundombinu inayojengwa pale mfano Baitbridge border upande wao hakuna border post iliyojengwa kama ile kwa Afrika kuanzia maeneo yote ya private car,abiria,gari za mizigo kuingia na kutoka vivyo hivyo ujenzi wa bara bara zao upo vizuri sana na wanatumia makampuni makubwa ya Ujenzi wa bara bara hasa upande wa Chirundu kwa hiyo Nchi ikishawekewa vikwazo hautapata taarifa yeyote nzuri kutoka kwa wanaoweka vikwazo Yoda ni mtu wa watu usitukane kisa kumtania jamaangu endelea na mishe zako unaejua vitu mkuu..
 
3. Hakuna ushahidi wowote wa watumishi wa Umma wa BurkinaFaso kuongezewa mshahara kwa 50%, hakuna taarifa ya serikali ya Burkinafaso kuhusu hilo jambo, ni uzushi tu unaosambazwa mitandaoni.
4. Burkinfaso ni nchi Masikini sana, ni kituko kuongelea taasisi au benki za ndani kuikopesha serikali yao pesa za maana, Burkinafaso wanategemea mikopo ya nje zaidi.
 
Ni chizi pekee ndio anadhani vitu vinafanywa na mtu mmoja (If I have seen further than others is by standing on the shoulders of the Giants) : Sasa kama kiongozi ni kuhakikisha vitu vinavyowagusa wananchi moja kwa moja vinatekelezwa na kutekelezeka (mwisho wa siku miradi ni ya watu) kiongozi unakusanya nguvu zao na kuhakikisha mnapotaka kwenda mnafika; na pamoja na hilo linahitaji charisma yako ili watu wapate feel good factor ya kutekeleza vitu...;

Sasa narudia tena swali langu wenye nchi wenyewe wanasemaje ? Sababu they are the only variable that matters; are they better off now than before ?
 
In FIAT Currency; A Country can never run out of money;

Countries that issue their own currencies can never run out of money in the same way a business or person can.; Ndio maana kuna siku niliuliza hapa

 
Burkina faso haina vikwazo, vikwazo walivyowekewa na ECOWAS vilidumu mwaka mmoja tu vikaondolewa, hata hiyo Ufaransa wanayogombana nayo yenyewe haijawawekea vikwazo. Makampuni ya Canada kama Endeavour Mining na mengine mengi bado yanachimba madini Burkinafaso, kampuni za Australia ziko zinachimba madini sambaba na za China na Urusi.
 
Miondombinu mingi ya Zimbabwe ilijengwa enzi za utawala wa wazungu, hata Zimbabwe imepangika vizuri sana kwa sababu ya wazungu walikuwa wanahusika pakubwa mpaka miaka ya 2000's Mugabe alipoanza kuvurugana nao.
 
Siku zote viongozi wa kweli ambao wanafanya kazi kwa ajili ya raia wao wanaonekana hawafai kwa sababu wanazuia kula za mabeberu kutoka Ulaya na America.
 
Muuza sura kwenye mitandao na magwanda ya kijeshi alichukua uongozi kimabavu
 
Wenye watasemeje, nchi zote za kidikteta wananchi wakiukizwa majibu huwa wanamkubali mtawala kwa zaidi ya 90%.
 
Umasikini wa muda mrefu wa taifa hauwezi kuondoka kwa siku moja hata ukiwa kiongozi mzuri na mtakatifu kiasi gani bali tunacho angalia kiongozi ni Mzakendo na ana chukuwa mwelekeo sahihi .
 
Umasikini wa muda mrefu wa taifa hauwezi kuondoka kwa siku moja hata ukiwa kiongozi mzuri na mtakatifu kiasi gani bali tunacho angalia kiongozi ni Mzakendo na ana chukuwa mwelekeo sahihi .
Ibra Traore ana miaka mitatu Burkinabe, sio siku moja au mbili, hatua zilizopigwa akiwa mtawala hazina tofauti na Somalia katika kipindi hiko.
 
Wenye watasemeje, nchi zote za kidikteta wananchi wakiukizwa majibu huwa wanamkubali mtawala kwa zaidi ya 90%.
Na wewe utafiti wako uliofanya ni kwamba wanamkataa na wanataka warudi hapo kabla ?; Na huyu anajaribu / anataka kupita mulemule kwa Sankara na je Sankara na yeye alikuwa Diktator anayechukiwa ? Na hio Demokrasia unayosema wewe na unaitaka ni ipi sababu kilichopo kwenye makaratasi na demokrasia as it right now duniani ni ardhi na mbingu...

 
Ulinganifuu huu ni kwa nia njem ama una hadaa ndani yake?
 
Wewe achana na story za Sankara, hizo ni zilipendwa, kwa sasa tumzungumzie dogo Traore na nyimbo za sifa na mapambio anayoimbiwa Africa nzima kama inaakisi ukweli, uhalisia na anastahili.
 
Ibra Traore ana miaka mitatu Burkinabe, sio siku moja au mbili, hatua zilizopigwa akiwa mtawala hazina tofauti na Somalia katika kipindi hiko.
Ni familia ngapi zinaweza kuondoka kwenye umasikini kwa miaka mitatu zikawa tajiri kwa njia ya haki ? Tumia akili kama hata familia ni ngumu sembuse nchi ....watu wanampenda huyo rais na wananchi wake wanampenda kwa sababu kachukua right direction na kufanya wananchi kulizika ...taifa linaweza kuwa masikini ila rais akaondoa dhuruma ...ufisadi ...uonevu....nk watu watampenda tu. je Samia bushiri kafanya nini hata kimoja chenye kutetea haki ya wananchi wake
 
Too early to judge...
 
Ibra Traore ana miaka mitatu Burkinabe, sio siku moja au mbili, hatua zilizopigwa akiwa mtawala hazina tofauti na Somalia katika kipindi hiko.
Ni familia ngapi zinaweza kuondoka kwenye umasikini kwa miaka mitatu zikawa tajiri kwa njia ya haki ? Tumia akili kama hata kwa familia ni ngumu sembuse nchi ....watu wanampenda huyo rais na wananchi wake wanampenda kwa sababu kachukua right direction na kufanya wananchi kulizika ...taifa linaweza kuwa masikini ila rais akaondoa dhuruma ...ufisadi ...uonevu....nk watu watampenda tu. je Samia bushiri kafanya nini hata kimoja chenye kutetea haki ya wananchi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…