Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

Kabisa unakosa hata loop hole yakumsapoti mwamba , kwa sasa traore ni baba wa bara la afrika.
Wafuasi wa Traore ndio wale wale wafuasi wa Magufuli,ndio wale wale Maga wa Afrika wafuasi wa Trump kitu pekee unachoweza kugundua kwa haraka toka kwao ni upeo finyu wa kufikiri na kuyatafakari mambo kwa kina na wanaendeshwa na mihemko mingi na conspiracy theories za kutosha.


Afrika inahitaji wananchi wanaoweza kufikiri vyema na kuchuja propaganda,uchafu na vitu vyenye ku make sense bila hivyo itaendelea kuwa dampo la yebo yebo za kichina na mapinduzi ya wehu.

N.b: Traore alisaidiwa mapinduzi na Wagner PMC( Wazungu wa mashariki) na analindwa na Wagner mpaka leo mpaka kesho siku warusi wakimchoka watamtema kama Assad yupo kulinda maslahi ya warusi magharibi mwa Afrika na masoja wenzake waliofanya mapinduzi kwa msaada wa Wagner PMC ya Urusi
 
Kawaida viongozi wapuuzi wapuuzi wqpenda sifa za kijinga hukubalika zaidi Afrika bila sababu.

Nilicho gundua kundi kubwa la watu Afrika halitumia kisawia bongo zao katika kufikiri vyema.

Au wenda ni kweli Afrika IQ level ipo chini sana
Kundi kubwa la Waafrika huwa wanajiendea kama manyumbu tu wanaovuka mto Mara. Huenda Professor James Watson alikuwa sahihi kweli kuhusu IQ za watu weusi.
 
Muhimu kama ana ajali maslahi ya watu waskini bora tu , ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
..eti afanye miracles kwa 36 months? na huku mabeberu hawalali wanamkwamisha
 
Kundi kubwa la Waafrika huwa wanajiendea kama manyumbu tu wanaovuka mto Mara. Huenda Professor James Watson alikuwa sahihi kweli kuhusu IQ za watu weusi.
Huyu jamaa huwa naona mpaka baadhi ya wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo( Chadema) wanampost na kumkubali vibaya mno huwa nasikitika na kucheka tu zingatia hapa chama cha demokrasia na maendeleo.

Wenda hata Magufuli angekuwa Rais wa Tanzania kupitia Chadema angekuwa na wafuasi wengi hata kwale aliyokuwa anayafanya.
 
..eti afanye miracles kwa 36 months? huku mabeberu wakikwamisha
Siwakubali wakomunisti kutokana siasa zao za hovyo ila nikupe mfano mwepesi tu wa China.

Baada ya mapinduzi ya 1949 wakomunisti wa China chini ya Mao Zedong walikuja na mpango wa Five Years Plans hapa walipanga kuanzisha na kukuza sekta mbali mbali hasa elimu na sayansi, viwanda na kilimo mind you huu mpango utekelezaji wake wa miaka mitano ulifanyika na ulionyesha direction bora ya China ya leo kiviwanda na kilimo.

Haya huyu mfunga mkuki wa mzungu kiunoni amekuja na direction gani toka alipotwaa madaraka kwa mapinduzi na matokeo yake ni yapi hata kwa uchache tu ?
 
Muhimu kama ana ajali maslahi ya watu waskini bora tu , ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
Mwambie ndugu yako ache upuuzi wa kutembea na mkuki wa mzungu kiunoni hana tishio lolote la kuwatishia magharibi kama baba yake Putin ambaye atembei na mkuki kiunoni au mjomba wake Xi Jinping au babu yake Ayatollah au baba mdogo wake Kim
 
Maendeleo yanaanza na kuyasema matatizo ya msingi yaliyoididimisha/dumaza nchi yake kuwa masikini.
Ukilijua hili na kulisema hadharani, wewe ni karibu na jibu. Hayo ndio yaliyompa sifa kubwa barani Afrika, kwani asili ya umasikini wa Afrika katika nchi zote unafanana. "Kutumiwa na wa-magharibi"
 
Waafrika wajinga na wapumbavu walio na vichwa vikubwa kama matikiti maji.
Mkuu naomba msamaha kwa niaba ya waafrika wote kama kuna mahali tulikukosea tusamehe tumekosa sisi tumekosa sana
 
China haikuwahi kuongozwa kama Burkina Faso toka wakomunisti wafanye mapinduzi waliunda chama imara waliset target kali ya kuinua elimu,sayansi,kilimo,life expectancy,viwanda na walitekeleza kweli bila utani na wala maigizo kama ya huyu bwana mdogo.

Aache siasa za kimagufuli za kijinga apambane kuiinua Burkina Faso katika maeneo kama hayo waliyofanya uchina marafiki zake hao Russia wawe wa faida wasiwe wa kichawa kulinda tu utawala wake
 
Muhimu kama ana ajali maslahi ya watu waskini bora tu , ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
Umenikumbusha mtawala aliyewaruhusu wamachinga ns mama ntilie wafanye biashara hadi katikakati ya barabara kwa sababu anajali maslahi ya watu masikini. Yani ilikuwq unaweza kufika kwenye kituo cha daladala ukakuta mama ntilie wanakaanga mihogo na kuni!🤣
 
Umenikumbusha mtawala aliyewaruhusu wamachinga ns mama ntilie wafanye biashara hadi katikakati ya barabara kwa sababu anajali maslahi ya watu masikini.
Kwa yanayoendelea yule jamaa alikua mwamba.
 
Kwamba unataraji overhaul ndani ya miaka mi 3?
 
Yaani Elimu kuwa bure ni changamoto sana angekuwa alilipa Ada chupa isingepooza hivi
 
How many decades walikuwa backwards, wachina wamepata economic breakthrough very recently, after decades of communist trial and errors. Sasa hivi hawa si wajamaa/communist as u think, wanajali sana market economy
 
Tutarajie baada ya miaka mingapi?
China ime transform kutoka kwenye moja ya nchi masikini duniani mpaka sasa kuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani imetumia miaka takribani 45 sasa mtu kapindua nchini hata miaka mitano hana mnataka ionekane kama USA?

Mawazo gani haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…