Takwimu zinavyomkataa Ibra Traore kama mkombozi wa Burkinabe na Waafrika

China ime transform kutoka kwenye moja ya nchi masikini duniani mpaka sasa kuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani imetumia miaka takribani 45 sasa mtu kapindua nchini hata miaka mitano hana mnataka ionekane kama USA?

Mawazo gani haya?
..eti miezi 36 miracles zionekane???
 
China ime transform kutoka kwenye moja ya nchi masikini duniani mpaka sasa kuwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani imetumia miaka takribani 45 sasa mtu kapindua nchini hata miaka mitano hana mnataka ionekane kama USA?

Mawazo gani haya?
Huyo mshamba hata akitawala miaka 50 hakuna cha maana sana atakachoifanyia Burkinafaso.
 
How many decades walikuwa backwards, wachina wamepata economic breakthrough very recently, after decades of communist trial and errors. Sasa hivi hawa si wajamaa/communist as u think, wanajali sana market economy
Wewe una akili kweli kufananisha upuuzi unaofanyika na dogo Ibrah na walichofanya Wakomunisti wa China??
 
Mkuu nitaufuta huu uzi endapo tu mtu atakuja na takwimu/data/facts nyingine zinazoonyesha haya niliyosema ni uongo na kuonyesha jinsi gani Burkina Faso chini ya Ibra imekuwa nchi ya asali na maziwa. Haiwezekani kulea ujinga wa kudumu wa Waafrika.
Usiufute uzi ni mzuri lakini tujaribu kuona wametoka wapi na wanaelekea wapi watu wa Bukina Faso.


View: https://www.youtube.com/watch?v=WiUIj_l6mqQ&t=865s
 
Unawaamini sana wanaopanga hayo mambo...jiulize mipango mingi ya kumwondoa kitini inasukumwa na nani na nini?
 
Wanaomsapoti na kumshabikia huyo tapeli mpigaji ni walewake mashabiki wa Shujaa fake wa Africa kutoka nchi ya Sheikh Samia.
 
wewe ni mjinga Kwanini ilikua ni Nchi ya 182 kati ya 185 sababu ya Ibrahim basi kasome tena uje kuandika Real News
 
wewe ni mjinga Kwanini ilikua ni Nchi ya 182 kati ya 185 sababu ya Ibrahim basi kasome tena uje kuandika Real News
Ignorance imekuja mwili mzima naomba kasome tena historia ya Burkina Faso kabla hata Ibrahim Traore ajazaliwa, Huo ulioandika Ni Ujinga
 
CHATGPT
 
Takwimu za Kujirudisha Nyuma hadi wewe na upo Africa usitume watu wakasome ujinga wako rudi kasome walipotoka na utumwa ulikuwa unaendelea nchini
 
Afrika ilittwa Alkabulani kabla ya wakoloni kuja kutuharibu Hio ni Fact nimekupa Je kwanini tanzania inadaiwa Trillion 97 na IMF na WB, Traore Anapoelekea anataka Currency ya Africa ndio ilipie madeni hapo atleast Afrika tutalipa Madeni yao...tunaitaji Traore 10 tu alfu uone Kama Afrika hatuta tengeneza Currency yetu na sisi tutoke kwenye utumwa waki uchumi mbona kama iko wazi kama ya mbuzi ila huoni yote hayo hadi gold kushuka dhamn ni sababu hizo wa afrika kusimama juu ya wazunguu...ingekuwa tuna currency yetu gold isingeweza kushushwa dhamani ila Embu toa Ignorance Nenda Kasome Historia ya Burkina Faso na Alcabulan
 
Wewe kwa akili yako unaona kabisa ipo siku Rwanda, Burundi, DRC, Kenya na Tanzania zitaungana na kutumia sarafu moja??
 
Wewe kwa akili yako unaona kabisa ipo siku Rwanda, Burundi, DRC, Kenya na Tanzania zitaungana na kutumia sarafu moja??
Kama huoni Hilo Linapaswa Kuwezekana kwanini tunazungumza Haya?? kama haliwezekani Basi ujue Ignorance imekuja mwilini
 
Wewe kwa akili yako unaona kabisa ipo siku Rwanda, Burundi, DRC, Kenya na Tanzania zitaungana na kutumia sarafu moja??
Sio nchi hizo Tuu ulizo Taja Hapo Africa ina Region 5.. East,South,west,north,central na sehemu zote zinazo resource ambazo endapo tukazimiliki wenye kama Ibrahim anavyomiliki Dhahabu na kuichimba wenyewe baada ya kumfukuza Mfaransa hio inaonyesha Muamko wa viongozi huru afrika wasiotegemea mabeberu
 
Wewe kwa akili yako unaona kabisa ipo siku Rwanda, Burundi, DRC, Kenya na Tanzania zitaungana na kutumia sarafu moja??
ukiona kabisa haiwezekani basi kamati ya Africa union inashikiliwa na mabeberu,. kwani unadhani mabeberu wanatoa mikopo wakiwa na nia ya hao watu weusi waweze kulipa mikopo hio!! mikopo ndio kifungo cha maisha ya waafrika na ukitaka kutoka hiko kifungo waninuke wafrika kama Ibrahim traoré..mabeberu wanatumia watu weusi wengi kusambaza maneno ya kizushi ili Tumchukie tunaingia kwenye mtego wa mabeberu sisi wenyewe
 
Majengo ya Umoja wa Africa Union(AU) yamejengwa na China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…