Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

Akishaonja Dudu huyo atabadirisha mtazamo.. yaan muombee sana asiingie ktk mikono ya Wasagaji.. aingie ktk Mikono ya Mwanaume rijaal.. atarudisha akili yake na kutaka Ndoa, kuzaa na kuwa na familia.
 
Unajiona umepatiia mwenyewe. Anapswa ajue na aelezwe kama yapo madhara ya kuiingia mapema au faida iwapo zipo.
Na usipomwambia Wewe ataambiwa na wengine tena kwa namna wanayoijua na kuipenda wao
Nafurahi saana kuona watu wenye uelewa kama huu, hii jamii inaharibika kwa sababu ya upofu wa kujitakia kwenye malezi hasa kipindi hiki kwa Dunia isiyokua na farha Wala mipaka.
 
Akishaonja Dudu huyo atabadirisha mtazamo.. yaan muombee sana asiingie ktk mikono ya Wasagaji.. aingie ktk Mikono ya Mwanaume rijaal.. atarudisha akili yake na kutaka Ndoa, kuzaa na kuwa na familia.
Comment ya kijinga saana ila si kipumbavu 🤣🤣🤣 ni kweli kabisa kikubwa nataka awe na familia yake siombi awe single mother Bali Aishi kifamilia
 
Wataalamu nisaidieni nawezaje kumuokoa Binti yangu dhidi ya hili balaa maana Dunia ishaharibika..
Jiandae kulea mtoto wako na mtoto wake hapo baadae kwa hio andaa mazingira mapema Wahuni watapiga na kupita hivi maana ushasema ni feminist feminist mpe mimba atalea mwenyewe hio ndio slogan yao hawataki habari za mwanaume
 
Comment ya kijinga saana ila si kipumbavu 🤣🤣🤣 ni kweli kabisa kikubwa nataka awe na familia yake siombi awe single mother Bali Aishi kifamilia
Huyo ni pure single mother cha kuomba hapo asije akaingia mlango wa pili akaanza kua sagaji yaan hapo ndio basi tena kuzaa atazaa ila hatopenda kuolewa na mwanaume atakuwa tayari aolewe na Mwanamke mwenzie ili waendelee kusagana

Cha kukushauri unaweza ukaona huu ushauri wa kifala ila una maana kubwa sana, andaa mazingira ya watoto wake mapema yaan huyo mtoto wako muandalie mazingira ya watoto wake jenga kajumba kaeneo andaa kabisa ila usimwambie km unamuandalia yeye na watoto wake maana huko mbele kuna anguko kubwa linaenda kumtokea mkuu chanzo cha yote ni wazazi, malezi na makuzi na ukimpeleka boarding ndio umempiga chura teke huko atakua chakula chao
 
Acheni uzungu
Mtoto anaishi Kwa falsafa zangu na matakwa yangu
Yaani mtoto anakuuliza kwanini uliachana na mama yake
Sasa kama ulimfuma na mwanaume mwingine utajibuje
 
Huwezi lazimisha moyo wa mwanamke aliyechoka ndoa au mwanaume kuishi na wewe otherwise huyataki maisha yako.... Mimi ntaamini baba ukisimama vizuri kweli kweli hakuna shida
Sure..kuachana kupo kabisaaa. Ikibidi mtaachana tu..
'You' can replace a patner but your kids can't replace their mother (parent) ambaye walimfahamu na kuufahamu upendo wake kwao.
 
Mkuu unamawazo nje ya box na ndo mana watoto waliolelewa na mama wa kambo mara nyingi hufanikiwa kuliko wa mama mzazi na huo ndio udhibitisho wa upendo, kwakumjenga mtoto akupe akimudu maisha katika mazingira yote.

Binafsi nasema na watoto wangu wahakikishe wanafanya kazi saana kuliko kucheza na wamsikilize Yao kwa kila maelekezo anayowapa ili wasihisi kunyanyaswa na inasaidia wameanza kua marafiki kimtindo

Umeona huo uKweli, Watoto waliolelewa na Mama wa kambo na wakavuka vizuri ile stage ya kukaa nyumbani wamefanikiwa Sana Sio kimwili tu bali hata KIROHO B'se walilelewa vyema na mama wa kambo na sio kudekezwa na kupendelewa B'se matatizo na nyakati ngumu kiukweli hutujenga na kutuimarisha sana na haya ndiyo MAISHA ya MTOTO wa kambo kamwe hawezi kudekezwa wala kupendelewa ila matokeo yake katika MAISHA ya MTOTO ni kuwa MTU IMARA na hekima Lazima utasomeka kwake

Sina mantiki kwamba NDOA zivunjwe Hapana ila kiukweli hawa akina MAMA Inabidi wapate muongozo wa jinsi ya kuwalea watoto wao na Sio kuwadekeza na kuwapendelea ndio maana Baba anapray part kubwa Sana katika malezi ya MTOTO kwasababu ni wababa wachache Sana utakuta wanawadekeza na kuwapendelea watoto wao B'se Baba hafanyi maamuzi kwa Hisia bali anatumia facts kufanya decision

Shirikilia Hapo hapo Mkuu muache huyo Mama akulele hao Watoto we wape mwongozo na mtizamo na msimamo SAHIHI na mama wa kambo Yeye anaweza asijue kama anakulelea Watoto, Yeye atajua hawapendi Ndio maana anawakazia katika mambo mbali mbali kumbe Ndio anatenda UPENDO kwa watoto wako na kamwe hao watoto watakua baraka Kwako na Hekima itasomeka NDANI yao B'se wamepitishwa katika moto 🔥 mkali na kuwa dhahabu

Dhahabu bila kupita katika moto mkali haiwezi kuwa dhahabu, waache watoto wapite katika moto waungue watakuwa matunda Mema na wakija kupata ufahamu na Akili watakuwa wakimshukuru huyo Mama kila siku mioyoni mwao kwa kuwalea vyema na sio kuwapendelea

Mithali 28:21

"Kupendelea watu si kwema; Wala mtu kuasi kwa ajili ya kipande cha mkate"

Kupendelea watu si kwema👉 usiwapendele WATOTO b'se You you destroy them, wapende WATOTO you build them to be strong soul
 
Acheni uzungu
Mtoto anaishi Kwa falsafa zangu na matakwa yangu
Yaani mtoto anakuuliza kwanini uliachana na mama yake
Sasa kama ulimfuma na mwanaume mwingine utajibuje

Haya ni matokeo ya mazoea and it's very dangerous to kids and father relationship

b'se hapo MTOTO anamuattack Baba yake kule Mama kajisafisha Yeye ni MWEMA 😁
 
Jiandae kulea mtoto wako na mtoto wake hapo baadae kwa hio andaa mazingira mapema Wahuni watapiga na kupita hivi maana ushasema ni feminist feminist mpe mimba atalea mwenyewe hio ndio slogan yao hawataki habari za mwanaume
Nimeshtuka mapema ndo mana natake action kulikabili na nnaimani nitashinds
 
Huyo ni pure single mother cha kuomba hapo asije akaingia mlango wa pili akaanza kua sagaji yaan hapo ndio basi tena kuzaa atazaa ila hatopenda kuolewa na mwanaume atakuwa tayari aolewe na Mwanamke mwenzie ili waendelee kusagana

Cha kukushauri unaweza ukaona huu ushauri wa kifala ila una maana kubwa sana, andaa mazingira ya watoto wake mapema yaan huyo mtoto wako muandalie mazingira ya watoto wake jenga kajumba kaeneo andaa kabisa ila usimwambie km unamuandalia yeye na watoto wake maana huko mbele kuna anguko kubwa linaenda kumtokea mkuu chanzo cha yote ni wazazi, malezi na makuzi na ukimpeleka boarding ndio umempiga chura teke huko atakua chakula chao
Wewe huna akili
 
Sure..kuachana kupo kabisaaa. Ikibidi mtaachana tu..
'You' can replace a patner but your kids can't replace their mother (parent) ambaye walimfahamu na kuufahamu upendo wake kwao.
Ni muhimu kuelewa hivo ili kukabili mazingira hayo ila si kuogopa kuoa au kuacha mwanamke mpumbavu anayehatarisha maisha yako
 
Umeona huo uKweli, Watoto waliolelewa na Mama wa kambo na wakavuka vizuri ile stage ya kukaa nyumbani wamefanikiwa Sana Sio kimwili tu bali hata KIROHO B'se walilelewa vyema na mama wa kambo na sio kudekezwa na kupendelewa B'se matatizo na nyakati ngumu kiukweli hutujenga na kutuimarisha sana na haya ndiyo MAISHA ya MTOTO wa kambo kamwe hawezi kudekezwa wala kupendelewa ila matokeo yake katika MAISHA ya MTOTO ni kuwa MTU IMARA na hekima Lazima utasomeka kwake

Sina mantiki kwamba NDOA zivunjwe Hapana ila kiukweli hawa akina MAMA Inabidi wapate muongozo wa jinsi ya kuwalea watoto wao na Sio kuwadekeza na kuwapendelea ndio maana Baba anapray part kubwa Sana katika malezi ya MTOTO kwasababu ni wababa wachache Sana utakuta wanawadekeza na kuwapendelea watoto wao B'se Baba hafanyi maamuzi kwa Hisia bali anatumia facts kufanya decision

Shirikilia Hapo hapo Mkuu muache huyo Mama akulele hao Watoto we wape mwongozo na mtizamo na msimamo SAHIHI na mama wa kambo Yeye anaweza asijue kama anakulelea Watoto, Yeye atajua hawapendi Ndio maana anawakazia katika mambo mbali mbali kumbe Ndio anatenda UPENDO kwa watoto wako na kamwe hao watoto watakua baraka Kwako na Hekima itasomeka NDANI yao B'se wamepitishwa katika moto 🔥 mkali na kuwa dhahabu

Dhahabu bila kupita katika moto mkali haiwezi kuwa dhahabu, waache watoto wapite katika moto waungue watakuwa matunda Mema na wakija kupata ufahamu na Akili watakuwa wakimshukuru huyo Mama kila siku mioyoni mwao kwa kuwalea vyema na sio kuwapendelea

Mithali 28:21

"Kupendelea watu si kwema; Wala mtu kuasi kwa ajili ya kipande cha mkate"

Kupendelea watu si kwema👉 usiwapendele WATOTO b'se You you destroy them, wapende WATOTO you build them to be strong soul
Ujumbe unahitaji bango kabisa mjini kila mtu alone.... Nayaishi haya
 
Back
Top Bottom