Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Ha ha haaaa, hao jamaa hawafai!Note: kataa ndoa ushauri wenu naujua MSIkomenti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaa, hao jamaa hawafai!Note: kataa ndoa ushauri wenu naujua MSIkomenti.
Kaka ukishaweka ndani hawana maana kabisa saa hii mke niliye nae mi nimezidi Tako ila ananipa amaniDadeki..mwanamke wa aina hii unamwachaje sasa
Nakubaliana na wewe lakini ikiwa mwanamke anafanya kwa namna ya dharau hadhari wewe unashauri vip?Kwani Wanaume hatugongi nje Mkuu?
Naomba nikuulize Mkuu, hadi Kwa umri wako umeshagonga Kei ngapi hadi sasa?
Mambo mengine ni ya kuchukuliana tu
Nimekusoma mkuu na huu ushauri nauonantija yakeHuyu jamaa amekushauri vizuri Sana hata Mimi na mke Wangu Ndio MAISHA ambayo tutaishi DHIDI ya watoto WETU, weka distance na Watoto wako then kuwa karibu na huyo mke wako mkishauriana pamoja, mkila pamoja, mkifurahi pamoja, mkitoka pamoja na kufanya Mambo mengine kwa pamoja huku mkiwaacha watoto wakiwa watazamaji, wakiwaangalia mnavyopendana na kuwa na umoja....
Amini Mkuu hutotumia Nguvu tena ya maneno kuweka Maono dhabiti na SAHIHI NDANI yake B'se picha husafilisha Mawazo kwa kasi sana kuliko Sauti, usiweke ukalibu na hao Watoto watakusumbua sana na kukutia stress na utakufa mapema, weka distance kidogo na wao ili uwape nafasi ya kukuona vyema na kwa usahihi wewe na mkeo mnavyoishi amini hayo Mawazo ya kishetani ya kutotaka kuolewa na kuzaa yatamtoka B'se atashuhudia raha na furaha na Amani katika NDOA kitu ambacho kitaprove wrong ile sumu aliyopandwa na mama yake kuhusu kusudi la MUNGU 👉 NDOA
Wewe ni baba na kiongozi Usijengee ukaribu na Watoto Mkuu B'se watakuzoea na mazoea huleta KIBURI na jeuri, jenga ukaribu na mke wako Harafu acha Watoto wawatazame wewe na mke wako mkiwa pamoja na mkifurahia NDOA YENU fanya hivyo utakuja Kushukuru hapa
Maajabu Hawa watoto walipokua kwa mama Yao walikua Hali mbaya kihisia kuliko nilivyonao Sasa na step mother wao.... Mama analala nje siku mbili ya tatu ndo anarudi utasema Bora nn??Kwanza pole hizo ni changamoto za maisha tatizo kubwa hapo ni hao watoto kulelewa na step mother , kimsingi hakuna naeweza kulea mtt asomzaa vzr kama mama mtu hata iweje ungetengenez mazingr tu wallet na mama yao kuliko ulichofanya hatar sna ogopa matapel
Huwezi lazimisha moyo wa mwanamke aliyechoka ndoa au mwanaume kuishi na wewe otherwise huyataki maisha yako.... Mimi ntaamini baba ukisimama vizuri kweli kweli hakuna shidaKabisa...unless mama awe amefariki watoto wajue kabisa huyu mtu ni non existent...na uyo mama mpya awapende kweli yani..
Hakuna kitu kibaya kama kulea watoto bila mwenza ni changamoto kubwa na mbaya mno, mwanaume oa na mwanamke aolewe ndio Nidhamu ya malezi it's balance kwa watotoSure hizi ndoa zikivunjika anaeumia ni mtoto.
Utakuta mtoto anauliza mbona baba haji,mbona mama haji.
Mmoja ajitoe tu kwamba ndoa imevunjika basi sitaoa au kuolewa nitalea wanangu inatosha.
Haya mambo ya ngoma nilihudhuria mara moja huko uzaramuni..Kipangege..looh ...nilijuta kwa niliyoyaona....Muhusuka atakuwa wa pwani wale wanawacheza ngoma watoto wakiwa wadogo samani ndugu zangu wamakonde
Kuna mambo mengine ni kuyapa muda. Hapo hakuna shida yoyote kwa mtotoNnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum,
Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi wa kufunguka ili kupata ushauri wa kunikosoa na kuniita moyo.
Ni hivi baada ya kutengana na aliyekua mke wangu, Sasa tunaelekea mwaka wa nne, na muda si mrefu tunakamilisha talaka.
Hapo awali mwanamke aling'ang'ania kukaa na watoto kitu ambacho kiliniumiza saana. lakini nikacheza na akili yake kiasi Cha yeye mwenyewe kutamka kuniachia watoto wangu niishi nao.
Hata hivyo nilishapata mwanamke kutoka nchi jirani ambaye niliamini ataishi vizuri na watoto wangu Hawa wadogo baada ya kua nae kwenye mahusiano kwa kipindi Cha mwaka kabla hajarudi kwao.
Nilimsafirisha kutoka nchini kwao Hadi hapa Tz na Sasa ananilelea watoto, na watoto wangu naona wakipendeza japo huyu Binti angu akibadilika badilika mood.
Mama Yao (mtalaka) aliumia saana kiskia kuna mwanamke naenda kuishi nae, kitu ambacho alitaka aje ampe masharti (kumtisha) huyu mwanamke wangu mpya (step mother) endapo hatoishi vizuri na watoto wake, kitu ambacho Mimi nilimkataza.
akasema anajua atakachofanya kwa watoto maana atawajaza sumu ili wajilinde dhidi ya huyo step mother wao hili nalo nilimuonya lakini nadhani alilifanya kwakua Kuna mambo napambana nayo Sasa nadhani ni matokeo ya hizo sumu.
Binti (9yrs) yangu amekua hamfurahii step mother wake bila sababu ya msingi hata nilipokaa nae kuzungumza nae aliniambia Hana tatizo nae zaidi aliniuliza kwann nimeachana na mama Yake?
Ni desturi yangu kufanya nao ibada pamoja na kuwasaidia masomo Yao hivo wamekua wakiniuliza maswali mbali mbali kwakua wanajua baba Yao hua sifichi.
Mara kadhaa nimekua nikiwasisitizia majukumu Yao ya baadae watakapokua wakubwa kwamba wakiume atakua baba na familia yake na wakike atakua mama wa familia yake.
kila ikifika hatua ya kusema Binti yangu ataolewa na kua na familia yeye anabadilika sura na kukataa kati kati kwamba hato olewa Wala kuzaa nikimuuliza kwann anasema hataki tuu...
Nawaza saana na kujiuliza yule mama yake ni kama mfeminist tuu anakauli za kusema hataki tena kuolewa na haamini katika ndoa na ndoa ni kama utumwa Sasa anaishia kuchapika tuu mjini naona kabisa hiki kilicho kichwani kwa Binti yangu ni matokeo ya kuachana na mama Yao na ndio sumu alizomtia Binti yangu...
Wataalamu nisaidieni nawezaje kumuokoa Binti yangu dhidi ya hili balaa maana Dunia ishaharibika..
Note: kataa ndoa ushauri wenu naujua MSIkomenti.
Mama Yao ndio chanzo Cha haya yote, hata hivyo kosa langu nilimjeruhi ndio nilipo jaribu ila kuhusu LOVE Binti angu ananipenda zaidi ya mama yake pamoja ya kwamba mama Yao anawatia sumu kiaina.Athari za kuvunjika ndoa ni wazi huathiri pia malezi ya watoto.
Ninachokiona hapo ni kuwa binti yako anaamini wewe baba ndiye mkosaji na chanzo cha mama yao kuondoka. Na kama aliwahi kushuhudia ukimpiga, kumnyanyasa mama yao, ni vigumu kuondoa kinyongo hicho moyoni mwake; na hii hupelekea kuwachukia wanaume wote au kuchukia maisha ya ndoa.
Kama unaamini wewe upo sahihi, mueleze ukweli chanzo cha mama yao kuondoka. Akijua mama ndiye mkosaji, atakuwa upande wako.
Sometimes maisha yanaamua iwe hivyo na kunakuwa hakuna namnaHakuna kitu kibaya kama kulea watoto bila mwenza ni changamoto kubwa na mbaya mno, mwanaume oa na mwanamke aolewe ndio Nidhamu ya malezi it's balance kwa watoto
Ni kweli hata hivyo naona anavyobadilika In a positive changeKuna mambo mengine ni kuyapa muda. Hapo hakuna shida yoyote kwa mtoto
Hata akifika umri huo hakuna umuhimuMama Yao ndio chanzo Cha haya yote, hata hivyo kosa langu nilimjeruhi ndio nilipo jaribu ila kuhusu LOVE Binti angu ananipenda zaidi ya mama yake pamoja ya kwamba mama Yao anawatia sumu kiaina.
Ndugu skiza kitu ambacho siwezi kufanya ni kueleza kosa la mama Yao at this age mpaka hapo atakapotimiza kuanzia either 15yrs au 18yrs akiwa na akili pembuzi kwa Sasa itakua ni torture zaid kwa akili yake
Fanya ya msingi mengine yataenda hatua kwa hatuaNi kweli hata hivyo naona anavyobadilika In a positive change
Nadhani yanaamua hivo kwa mwanamke kwa sababu mara nyingi si yeye anayechumbia japo akiji position vizuri watu wanaoa tuu single mothers..Sometimes maisha yanaamua iwe hivyo na kunakuwa hakuna namna
Asiponiuliza sitomwambia na weka hivo endapo akihitaji kujua maana na Mimi nilikua kwenye mazingira hayo naelewaHata akifika umri huo hakuna umuhimu
Sure brotherFanya ya msingi mengine yataenda hatua kwa hatua
Mkuu unamawazo nje ya box na ndo mana watoto waliolelewa na mama wa kambo mara nyingi hufanikiwa kuliko wa mama mzazi na huo ndio udhibitisho wa upendo, kwakumjenga mtoto akupe akimudu maisha katika mazingira yote.MKUU kuna tofauti kati ya malezi na kuwahudumia Watoto, mama yao wa kuwazaa atakuwa better katika kuwahudumia na kuwapendelea Watoto ila huyo Mama yao wa kambo atakuwa better katika kuwalea na kuwapenda watoto
Kuna dhana potofu DUNIA inatufundisha na kutuaminisha kuhusu UPENDO 👉 kuna tofauti Kati ya kupenda na kupendelea na kibaya Zaidi Dunia inatufundisha Kwamba, kupendelea Ndio kupenda kumbe tunatenda kinyume na UPENDO... Mama wa kambo atakua neutral kwa hao Watoto hatowapendelea kamwe na huko ndiko kutenda Upendo wa Kweli kwa Watoto
Unafikiri kwanini waswahili husema MTOTO kwa mama HAKUI? ✍️
Yap na anakibali mpaka nachoka 🥹🥹9yrs Bado huyo nenda nae taratibu tu mtoto wa kike ukiwa nae karibu lazma akusikilize tu baba ake
Nakubali ila inapitikea haiwezikani sio mwisho wa maisha na mwanadamu umeumbwa kukabiliana na mazingira mbalimbali ni pamoja na hiliHuu uzi ni mzito na ni rahis tu kukoment ila muhusika ndo anajua joto Lake, mama awe anapenda au anapendelea still huwez linganisha na huo upendo wa mama wa kambo ever. ndo mana watu hata biblia inakataa kuachana sab wanaoumia ni wengine. ila Inapolazimu bas watot waish na mama yao over.