Mwishowe atakuja kupigwa pipe mbele ya watoto! Mpige marufuku hata kuja kuwaona! Kama alikuwa anawapenda kwa nini alidai talaka?Maajabu Hawa watoto walipokua kwa mama Yao walikua Hali mbaya kihisia kuliko nilivyonao Sasa na step mother wao.... Mama analala nje siku mbili ya tatu ndo anarudi utasema Bora nn??
Sina hata chembe ya pwani ila nakusikitia saana kwa ufinyu wa uelewa wako, hato hivyo Mimi simfundishi namna ya kile kinafanyika kwenye ndoa Bali ajitambue siku Moja atakua mama na kua na watoto tuuMuhusuka atakuwa wa pwani wale wanawacheza ngoma watoto wakiwa wadogo samani ndugu zangu wamakonde
Yaan hata kufikia hatua ya kupata Hawa watoto nilihitaji kua mvumilivu saana mpaka alipochoka kukaa nao sababu ya kukosa uhuruMwishowe atakuja kupigwa pipe mbele ya watoto! Mpige marufuku hata kuja kuwaona! Kama alikuwa anawapenda kwa nini alidai talaka?
Piga marufuku hiyo takataka! Juzi kati bro wangu alikuwa anaonesha binti yake mkubwa ambaye amelelewa na mama wa kambo. Ile takataka shemeji yangu nayo ikawa imejileta aibu iliyomkuta natalia asahau! Credits zote zikaenda kwa mama mlezi, hata binti wakati wa kushukuru akaishia kusema tu namshukuru mama kwa kunizaa, full stop! Malezi, shule mpaka hapo alipofikia akawa amemwaga zote kwa mama mlezi!Yaan hata kufikia hatua ya kupata Hawa watoto nilihitaji kua mvumilivu saana mpaka alipochoka kukaa nao sababu ya kukosa uhuru
Aiseee.mwanamke mtu mzima kabisa huyu, ni ngumu kuamini kwa umri huo kuwa alifanya maamuzi pasipokujua matokeo yatakuwaje kuwa mbali na watoto au familia yake35yrs mkuu
Sasa kwa umri wake utalazimisha kuurudiana nae kweli??Aiseee.mwanamke mtu mzima kabisa huyu, ni ngumu kuamini kwa umri huo kuwa alifanya maamuzi pasipokujua matokeo yatakuwaje kuwa mbali na watoto au familia yake
Sijajua kwann mnaogopa kuzungumzia haya maswala kwa namna ya utoto...Usimpe tena story zako za kuoana na kuolewa we mpe story za katuni na masomo tuu.
Miaka 9 unampa story za maisha ya ndoa🤣🤣🤣🤣
I hope Soo watoto wanaelewaPiga marufuku hiyo takataka! Juzi kati bro wangu alikuwa anaonesha binti yake mkubwa ambaye amelelewa na mama wa kambo. Ile takataka shemeji yangu nayo ikawa imejileta aibu iliyomkuta natalia asahau! Credits zote zikaenda kwa mama mlezi, hata binti wakati wa kushukuru akaishia kusema tu namshukuru mama kwa kunizaa, full stop! Malezi, shule mpaka hapo alipofikia akawa amemwaga zote kwa mama mlezi!
Inafikirisha kidogo mkuu ila kwa maslahi mapana na ustawi wa watoto angerudi siyo mbayaSasa kwa umri wake utalazimisha kuurudiana nae kweli??
Kama unarahisisha vile... Labda mke wake alikuwa mchepukaaji anakitembeza huko nje... Unadhani nirahisi kusamehe kweli? Mtu unadhani umeoa mke kumbe umeolea vijana wa hovyoKulikuwa na sababu ipi kubwa ambayo mlishindwa kukaa chini na Mkeo mtalikiwa hadi mfikie kutalikiana?
Wake zetu Kuna wakati Wana kera na kutuudhi, lakini kwani hukujua umemwoa binadamu mwenzio nasio Malaika?
Kwani wewe hukuwahi kumkosea Mkeo na akakusamehe mara kadhaa?
Anyways, Kwa maoni yangu ulifanya haraka Kuoa tena mara baada ya kutalikiana na aliyekuwa Mkeo.
Ni kweli Mkuu, yeye mtoa mada ndiyo anajua sababu hasa iliyo nyuma ya maamuzi yakeKama unarahisisha vile... Labda mke wake alikuwa mchepukaaji anakitembeza huko nje... Unadhani nirahisi kusamehe kweli? Mtu unadhani umeoa mke kumbe umeolea vijana wa hovyo
Anaringia Tako mzee Hana mpango wakurudi bandaniInafikirisha kidogo mkuu ila kwa maslahi mapana na ustawi wa watoto angerudi siyo mbaya
Halijamfika huyo jamaa mi nawasikilizaga tuu watu wa hivoKama unarahisisha vile... Labda mke wake alikuwa mchepukaaji anakitembeza huko nje... Unadhani nirahisi kusamehe kweli? Mtu unadhani umeoa mke kumbe umeolea vijana wa hovyo
Ukimwambia na ww uwapikie wanao bado utamuharibu akili.Sijajua kwann mnaogopa kuzungumzia haya maswala kwa namna ya utoto...
Mfano unamwambia mtoto wa kike kwamba 'jitahidi ujue kupika ili na wewe uwapikie wanao' ni tatizo??
Sawa mkuuUkimwambia na ww uwapikie wanao bado utamuharibu akili.
We mwambie tuu utawapikia ndugu zako hawa