Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapema💔

Maajabu Hawa watoto walipokua kwa mama Yao walikua Hali mbaya kihisia kuliko nilivyonao Sasa na step mother wao.... Mama analala nje siku mbili ya tatu ndo anarudi utasema Bora nn??
Mwishowe atakuja kupigwa pipe mbele ya watoto! Mpige marufuku hata kuja kuwaona! Kama alikuwa anawapenda kwa nini alidai talaka?
 
Muhusuka atakuwa wa pwani wale wanawacheza ngoma watoto wakiwa wadogo samani ndugu zangu wamakonde
Sina hata chembe ya pwani ila nakusikitia saana kwa ufinyu wa uelewa wako, hato hivyo Mimi simfundishi namna ya kile kinafanyika kwenye ndoa Bali ajitambue siku Moja atakua mama na kua na watoto tuu
 
Mwishowe atakuja kupigwa pipe mbele ya watoto! Mpige marufuku hata kuja kuwaona! Kama alikuwa anawapenda kwa nini alidai talaka?
Yaan hata kufikia hatua ya kupata Hawa watoto nilihitaji kua mvumilivu saana mpaka alipochoka kukaa nao sababu ya kukosa uhuru
 
Yaan hata kufikia hatua ya kupata Hawa watoto nilihitaji kua mvumilivu saana mpaka alipochoka kukaa nao sababu ya kukosa uhuru
Piga marufuku hiyo takataka! Juzi kati bro wangu alikuwa anaonesha binti yake mkubwa ambaye amelelewa na mama wa kambo. Ile takataka shemeji yangu nayo ikawa imejileta aibu iliyomkuta natalia asahau! Credits zote zikaenda kwa mama mlezi, hata binti wakati wa kushukuru akaishia kusema tu namshukuru mama kwa kunizaa, full stop! Malezi, shule mpaka hapo alipofikia akawa amemwaga zote kwa mama mlezi!
 
Usimpe tena story zako za kuoana na kuolewa we mpe story za katuni na masomo tuu.
Miaka 9 unampa story za maisha ya ndoa🤣🤣🤣🤣
 
Aiseee.mwanamke mtu mzima kabisa huyu, ni ngumu kuamini kwa umri huo kuwa alifanya maamuzi pasipokujua matokeo yatakuwaje kuwa mbali na watoto au familia yake
Sasa kwa umri wake utalazimisha kuurudiana nae kweli??
 
Usimpe tena story zako za kuoana na kuolewa we mpe story za katuni na masomo tuu.
Miaka 9 unampa story za maisha ya ndoa🤣🤣🤣🤣
Sijajua kwann mnaogopa kuzungumzia haya maswala kwa namna ya utoto...
Mfano unamwambia mtoto wa kike kwamba 'jitahidi ujue kupika ili na wewe uwapikie wanao' ni tatizo??
 
Piga marufuku hiyo takataka! Juzi kati bro wangu alikuwa anaonesha binti yake mkubwa ambaye amelelewa na mama wa kambo. Ile takataka shemeji yangu nayo ikawa imejileta aibu iliyomkuta natalia asahau! Credits zote zikaenda kwa mama mlezi, hata binti wakati wa kushukuru akaishia kusema tu namshukuru mama kwa kunizaa, full stop! Malezi, shule mpaka hapo alipofikia akawa amemwaga zote kwa mama mlezi!
I hope Soo watoto wanaelewa
 
Kulikuwa na sababu ipi kubwa ambayo mlishindwa kukaa chini na Mkeo mtalikiwa hadi mfikie kutalikiana?

Wake zetu Kuna wakati Wana kera na kutuudhi, lakini kwani hukujua umemwoa binadamu mwenzio nasio Malaika?

Kwani wewe hukuwahi kumkosea Mkeo na akakusamehe mara kadhaa?

Anyways, Kwa maoni yangu ulifanya haraka Kuoa tena mara baada ya kutalikiana na aliyekuwa Mkeo.
Kama unarahisisha vile... Labda mke wake alikuwa mchepukaaji anakitembeza huko nje... Unadhani nirahisi kusamehe kweli? Mtu unadhani umeoa mke kumbe umeolea vijana wa hovyo
 
Sijajua kwann mnaogopa kuzungumzia haya maswala kwa namna ya utoto...
Mfano unamwambia mtoto wa kike kwamba 'jitahidi ujue kupika ili na wewe uwapikie wanao' ni tatizo??
Ukimwambia na ww uwapikie wanao bado utamuharibu akili.
We mwambie tuu utawapikia ndugu zako hawa
 
Umepigwa na mTz umeamua kuhamia kwa wabankoku thailand mkuu😀

Chamsingi ni kuacha ndo in all its form ikatae ndoa na mambo yake yote hapo ndipo shetani kakukamatia yani we achana na ndoa oune milango ya baraka inavofunguka mithili ya mvua toka angani😂

yani utafurikwa na mibaraka kama ukiacha kufocus na ndoa

Focus na watoto kwa sasa

Tafuta ka small house kaweke mbali na hapo kambini watu wasikushtukie
Unafurahisha watoto baadae na wewe unafurahia na assitant wako lakini anatokea sub😀😀😀
 
Back
Top Bottom