figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Na hvy vitu vyote vya ndani ni mapazia na ndoo za maji 😎Kwa masikini ongezea “na aliondoka na vitu vyote vya ndani”
Hapana alichukua na soksi zangu nyeupeNa hvy vitu vyote vya ndani ni mapazia na ndoo za maji 😎
Ila mm mwnyw ukiniibia soksi nyeupe Lazima nimaind, Unaijua Ile tabu ya kufua nguo nyeupe afu mpuuzi mmoja anakuja kuiiba 😂Hapana alichukua na soksi zangu nyeupe
Au ndo mana ulizalishwa ukaa.............Ila sema mwanamke wa kibongo akiachika atateseka sana anakoenda
Jambo Dogo tu la madeko inakuwa Nongwa 'Ndo mana uli...!'🤭
Aisee wawe wa pole kwakweliAu ndo mana ulizalishwa ukaa.............
Angekuwa bongo angemuimbia wimbo wa mwanafa tu “bado Nipo nipo sana”
Kwa matajiri ndio wanapata shida Sisi akina kajamba Nani wanakimbia wenyewe wala hawakudai kituPalac akuambia kwamba, Wanawake hawajawahi kujua wanataka nini ndo maana talaka ni kwa matajiri maskini utaskia mke alinikimbia.
View attachment 3598190
Alinukuliwa mchakarikaji akisema mwanmke alisomba vitu vyote ndani mpaka wazazi wake hawapokei simuKwa masikini ongezea “na aliondoka na vitu vyote vya ndani”
Yaani nimecheka sanaKwa masikini ongezea “na aliondoka na vitu vyote vya ndani”
Na mtungi mdogo wa gesiNa hvy vitu vyote vya ndani ni mapazia na ndoo za maji 😎
BalaaaNa hvy vitu vyote vya ndani ni mapazia na ndoo za maji 😎