AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Au akipata mwamba akamdanganya, huwa wako faster kutaka divorce alafu ikishatoka huwa inapeperusha ndege, unakuta mwamba anabadilia gear angani 😅😅Kabisa kama mwanamke anaona kuna kitu cha kugawana lazima mpelekeshane polisi/dawati/mahakamani kugawana PKP - Pasu kwa Pasu.