Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Kwenye maisha tunakosea mengi, hata kama funzo alilopata halikumsaidia yeye limewasaidia wengine😅😅 amevuna alichopanda, na mtu akivunja ndoa kwa mtindo huo, kuja kupata ndoa ingine ni mtihani sana, kama anakua kajipiga red card mwenyewe kwenye ulingo wa ndoa