Au akipata mwamba akamdanganya, huwa wako faster kutaka divorce alafu ikishatoka huwa inapeperusha ndege, unakuta mwamba anabadilia gear angani π πKabisa kama mwanamke anaona kuna kitu cha kugawana lazima mpelekeshane polisi/dawati/mahakamani kugawana PKP - Pasu kwa Pasu.
Au akipata mwamba akamdanganya, huwa wako faster kutaka divorce alafu ikishatoka huwa inapeperusha ndege, unakuta mwamba anabadilia gear angani π π
π π Kuna mmoja naelewa case yake, majuzi nikaanza mtania ali mind huyo kama mie ndio nilimtuma akaomba divorce, alie mpanga naona alimla tu na kupiga windo chiniWanawake wengi waliodanganywa kwa mtindo huo wengi wanaangukia pua kisha wanaomba kurudisha majeshi...kati ya 10 wanaotoboa hawazidi wawili ila 8 wanaangukia PUA ,walitema BIg G kwa karanga za kuonjeshwa.
Hahaha tatizo wanawake huwa hawaelewi somo mpaka yawakute ,mwanamme ambaye anajua huyu ni mke wa mtu halafu anamshawishi aachane na mmewe aende kwake basi jua kuna kitu amekitarget kutoka kwa huyo mwanamke tofauti na mapenzi.π π Kuna mmoja naelewa case yake, majuzi nikaanza mtania ali mind huyo kama mie ndio nilimtuma akaomba divorce, alie mpanga naona alimla tu na kupiga windo chini
akili za wanawake wanazijua wenyewe tu aisee πHahaha tatizo wanawake huwa hawaelewi somo mpaka yawakute ,mwanamme ambaye anajua huyu ni mke wa mtu halafu anamshawishi aachane na mmewe aende kwake basi jua kuna kitu amekitarget kutoka kwa huyo mwanamke tofauti na mapenzi.
Na jaba KhantweNa mtungi mdogo wa gesi
π€£π€£π€£π€£π€£akipata mwamba akamdanganya, huwa wako faster kutaka divorce alafu ikishatoka huwa inapeperusha ndege
Kubabake umenikumbusha mbali kchizi nlilia haswaa ila mungua saidia skutatu mbele nlipata mchongo wa maana nkanunua mapazia kitanda alichoacha nkafungu nkamwambia aje akifate nkanunua net yan mjinga huyu aliniweza alipewa umbea namajira. Nimeanza nakufyatua tofali zingne pale nje du si nkaanza kuskia vkao vanitisha kila akija analia nlimsamehe ila nkamwambia kila ulichobeba usiridi nacho saiv imepitamiaka 15 tuko sawa ila umentoa machoz umaskin ni mbaya kabisa fikiria yeye ni mtumishi wa uma lakin aliweza beba jiko la mafuta net pazia vtambaa vya kochi nkNa hvy vitu vyote vya ndani ni mapazia na ndoo za maji π
Pole sana Mkuu.. Hawa viumbe hawana huruma na Masikini..fikiria yeye ni mtumishi wa uma lakin aliweza beba jiko la mafuta net pazia vtambaa vya kochi nk
Ila hii tabia mbaya sana ππ unampanga mtu aachike kisha unampiga chiniπ π Kuna mmoja naelewa case yake, majuzi nikaanza mtania ali mind huyo kama mie ndio nilimtuma akaomba divorce, alie mpanga naona alimla tu na kupiga windo chini
π π Wadada baadhi wamekuwa wa hanga wa hii kitu, ila nilichokuja kuona wengine huwa wanarogwa hadi wanakosa akili ya maamuzi , maana hali ya kawaida sio rahisi kudanganyika hadi kuvunja ndoaIla hii tabia mbaya sana ππ unampanga mtu aachike kisha unampiga chini
Hata sio kurogwa ni mihemko tuπ π Wadada baadhi wamekuwa wa hanga wa hii kitu, ila nilichokuja kuona wengine huwa wanarogwa hadi wanakosa akili ya maamuzi , maana hali ya kawaida sio rahisi kudanganyika hadi kuvunja ndoa
Ila watu wabaya sana, maana na hata wanao wadanganya huwa wanajua kabisa hawatoa wao, hii dunia acha tu.. Dada watu aliwaka kama moto wa kifuu nikabaki nachekaaa π πHata sio kurogwa ni mihemko tu
π Ulikosea na wewe kumtania mwenzio wakati unajua ana machunguIla watu wabaya sana, maana na hata wanao wadanganya huwa wanajua kabisa hawatoa wao, hii dunia acha tu.. Dada watu aliwaka kama moto wa kifuu nikabaki nachekaaa π π
hadi aka niblock kwenye simu
π π amevuna alichopanda, na mtu akivunja ndoa kwa mtindo huo, kuja kupata ndoa ingine ni mtihani sana, kama anakua kajipiga red card mwenyewe kwenye ulingo wa ndoaπ Ulikosea na wewe kumtania mwenzio wakati unajua ana machungu