Kwenye maisha tunakosea mengi, hata kama funzo alilopata halikumsaidia yeye limewasaidia wengineπ π amevuna alichopanda, na mtu akivunja ndoa kwa mtindo huo, kuja kupata ndoa ingine ni mtihani sana, kama anakua kajipiga red card mwenyewe kwenye ulingo wa ndoa
Kila kosa ni sehemu ya kujifunza na sio kuharibu zaidi. Ila huko mbeleni sijui ndoa zitakuwaje maana watu wamekuwa wanaishi kwenye kivuli cha woga sana kuhusiana ndoa sio Ke na Me, nilisha fika Temeke pale wanao vunja ndoa watoto wadogo wadogo kabisaKwenye maisha tunakosea mengi, hata kama funzo alilopata halikumsaidia yeye limewasaidia wengine
Maisha yamebadilika sana, mambo ya ndoa ni uvumilivu vijana wamekataa. Hata wanawake siku hizi hawaogopi tena kuachika tofauti na zamaniKila kosa ni sehemu ya kujifunza na sio kuharibu zaidi. Ila huko mbeleni sijui ndoa zitakuwaje maana watu wamekuwa wanaishi kwenye kivuli cha woga sana kuhusiana ndoa sio Ke na Me, nilisha fika Temeke pale wanao vunja ndoa watoto wadogo wadogo kabisa
ila ndoa ni upendo na sio uvumilivu. Ndoa ikishatoka kwenye upendo, na ikiingia kwenye uvumilivu hiyo sio ndoa tena hata ni kambi ya jeshi. Maana mahala ambapo hakuna upendo kuna mauti π πMaisha yamebadilika sana, mambo ya ndoa ni uvumilivu vijana wamekataa. Hata wanawake siku hizi hawaogopi tena kuachika tofauti na zamani
Hawa Gen Z wanajiamulia sana mambo ππila ndoa ni upendo na sio uvumilivu. Ndoa ikishatoka kwenye upendo, na ikiingia kwenye uvumilivu hiyo sio ndoa tena hata ni kambi ya jeshi. Maana mahala ambapo hakuna upendo kuna mauti π π
Vijana wanajiamulia mambo yao hawana mda wa kupotezaa
Kwa nini mkuu, huna imani na ndoa yako hadi unawaza kumwagwa?Mie wangu hatonikimbia tu, atanimwaga...
π π hawa ndio wanasubiliwe kwenye ndoaHawa Gen Z wanajiamulia sana mambo ππ
Imani ninayo nazungumzia UMASKINI, kama maskini hatoi talaka inakuwa mke kakimbia, sasa mimi hatonikimbia atanimwaga, yaani niko mbele zaidi ya kukimbiwa.Kwa nini mkuu, huna imani na ndoa yako hadi unawaza kumwagwa?
ππ Mambo ya kawaida tu haya. Watu wasifurahi?π π hawa ndio wanasubiliwe kwenye ndoa
View attachment 3599017
π€£π€£π€£Imani ninayo nazungumzia UMASKINI, kama maskini hatoi talaka inakuwa mke kakimbia, sasa mimi hatonikimbia atanimwaga, yaani niko mbele zaidi ya kukimbiwa.
ππ€£
Sema hakuna generation inajua kula raha kama Gen Z aiseee, nimecheka huyo kijana acheza kalala chiniππ Mambo ya kawaida tu haya. Watu wasifurahi?
Kumanisha nini?ππ Mambo ya kawaida tu haya. Watu wasifurahi?
Kuna chochote kibaya hapo watu si wanacheza muziki?Kumanisha nini?