Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hapo sasa!
Hivi Mange anavyopenda picha angeacha kupiga picha akiwa msibani?
Talaka ina mambo....
Pole bi mkora Mange.
Lazma angepiga selfie pembeni ya jeneza. Huo ni msiba Wa talaka.... Anakomaa tu ila mashauzi bye bye mzungu mzungu, muzungu mwenyewe mzungu koko
 

Ile University of walonga longa ilimuenroll kwa credential zipi??
 
Mi kidume rijali kuliko yule mshana unaemshobokea!! Mie ukinipa hiyo tunguu takufanyia kazi hutonisahau japo upo kama sanamu ya michelini...
Sasa we unafikir hiyo picture hapo ndo yeye? Faiza Ni mwanamke msomi Na mwelewa Sana, kiukweki huwez shindana nae, Na pia alishawahi shika nyadhifa nzur Tu serikalini, tena nje ya nchi., kaa pembeni ndugu
 
We Dada unajidai mwanamme? Mie miaka yote jinsi uandikavyo nnajuwa ni binti. Kama unasema kweli basi una walakin.

Rijali anajisifu au kuingia kwenye udaku wa kina Mange? Unanchekesha.
Haswaaa inahusu mwanaume rijali kuingia kwenye mamb ya kike chefuuuuu
 
Aisee naona wale walioathirika na mange sasa leo jumapili swaaaafi wamepata pa kupumulia hahahahaha. Mange bana, najua unasubir docments zote zikamilike kisha utupe mahabar ya talaka yakiwa kamili. Namfagilia sana huyu binti.
 
Aisee naona wale walioathirika na mange sasa leo jumapili swaaaafi wamepata pa kupumulia hahahahaha. Mange bana, najua unasubir docments zote zikamilike kisha utupe mahabar ya talaka yakiwa kamili. Namfagilia sana huyu binti.
Ana ubinti gani huyo
 
Hahahahaaaa katika picha inayonichekeshaga jamani ni ile ya Mange akiwa kavaa dira huku kapakata laptop uwani kwake.
Nachekaga sana kila nikiiona,ile ndio LA yenyewe ilivyo jamani?
Mhhhhhhh!
Hahahahahahh LA ile vepeee. Bora hata kwangu kisasa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chai maharage.
 

A Poor desperate bitch. Umejileta mbio mbio utadhani una la maana basi msyyuuu. Kaniunblock niendelee kuona mashauzi koko yako basi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
A Poor desperate bitch. Umejileta mbio mbio utadhani una la maana basi msyyuuu. Kaniunblock niendelee kuona mashauzi koko yako basi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Ana mashauzi gani siku hizi mwenzangu?
Hana jipya shoga angu!
Mitoko yake siku hizi anavaa nguo za Bhoke au zile za zamani zinazompwaya anafanya kuzishikilia (refer my screenshot).
Wala hakuna ulichokipoteza,angekuwa na jipya ningekupigia hata screenshot nikuletee.
 
Pampers ya Keanu hiyo hapo chini. Viatu mjomba na shangazi ha ha ha ha ha muke ya mzungu utadhani anaishi dampo, hicho kitanda vepe anatupiaga picha kajiachia kwenye vitanda vya hotels chake mbona hajiachii ha ha ha hilo shuka kama pazia
 
Haaa haaaaa haaaaa haaaaa haaaaaa Nasikiaaa anaumwaa Ugonjwa uitwao STRESSENICA...ni ugonjwaaa mpyaaaa...yaani mawazoooo yakizidii unashika Simu.au laptop unaanza kutafuta Bifuuu kwa MTU yeyotee unay mjuaa Na Hata kama una siri zakeeee ndioo unazitoaaa akisahau kwamba hata yeye as long as She is A human Being an ups and Downs...Anakutoleaaa siriii zooteee..sasa ukiturn Up kumtolea zakee ambazo ni nzintooooo Anaanza kujitetea kila upande...MTU Gani asiyewapenda Hata watoto wake mwenyewe....huwezi kichwakichwa ukawaatack Watu wenye Meno kabla hujajipanga lazima ujipange Na pia Uprotect family yakoo..Maana kama wakikukosa Wewe wataenda hata kwa nduguu kwa Watoto..yaani Hata kama ni Uzalendo anaousema sio hivyoo Aiseee ...Ni ujingaaa kupendaa sifa..yaani kwanza akikamatika kama ile ishu mpaka kwenda Police Ostabay. Aliishi kama Digidigi..jamani yule Mdada..kwa nini utake u maarufu kwa kuwachafuaa wengine...Tena wengi Ni Rafikize.Mwisho Wa siku anakosa pa Kushika anaanza kuishi kama Mwanga Na Mchawi.
 
Mchepuko hauna heshima ya mke shoga, huyo baba nasikia aliliwa TIGO kwa kuwa alikuwa anapenda kutembeaa na wake za watu na wakati wa tukio alirekodiwa kabisa, sasa kuja kupewa Tape akaona dunia ime muelemea ndio kwenda kujiulia hotelini kwake.
 
Shoga Kily si yuko abroad?
Hayuko bongo bwana.
Nimesahau jina la nchi tu....
Kama kaenda nje atakuwa anaenda kutembea tu, maisha yake ni hapa bongo na ndio shoga pekee wa Mange anaempokea na kwenda nae viwanja Mange akiwa mjini.
 
Kweli,hata mimi nikisikia jina la huyo mama nasonya.
Namuona cheap, yaani pamoja na elimu yake namuonaje sijui!
Kwa tabia hii ya kukubali kuwa mchepo, elimu yake haijamkomboa kifikra kwa kweli.
 
Jamii forum ifungwe na na nani? pole yake bibi bomba kamtukana Lowasa kasahau ni mwenye hisa vodacom, vodacom wamechomoa ufadhili wa blog yake kashindwa kuiendesha kafunga. haaa chezea watu na pesa zao.. mwanzo kukwepa aibu kasema anafanya diete atarudi, sasa mwezi wa saba huu hata kama angekuwa nguruwe diete ingesha isha. Pole mwana mtoka majunguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…