Hapo sawa, ni jinsi gani atajishusha aweze kusahau nguo nzuri viatu vizuri maisha ya bata Mbona atakua poa tu, ila mi ningekua Mange kurudi bongo baada ya ndoa kuisha atakaua kajishusha sana, akomae tu.yeah its true but life won't be the same again.. hata ningekua Mimi ningetafuta kazi unajishusha tuuu sema kwa jeuri za mange sijuiiii..
Mkuu maswali gani sasa hayo?Huogopwi kuitwa mwanaume wa dar!Loh hivi ni kweli kaachwa? Mi nlijua ni maneno tu ya wabaya wake. Na kuhusu huzuni ya leo sio lazima iwe ni kwaajili hiyo...yapo mengi mtu anayapitia inawezekana ni jambo jingine kabisaa
Teh af mi sio mwanaume ujueSijui just curious.
Waoane na lemutuz
View attachment 338354
Baada ya kuona Kiss za Wema zimefika Europe, inabidi nimwagizie wife hizi za kutoka UK. Nadhani zitakuwa bomba sana.
Nyi ndo mnae mpa bichwa...ifikie kipindi Mange aache hii tabia itaathiri hadi kizazi chake cha nne , ni hatari sana kwamba mtu unagombana na kila mtu ili uitwe bingwa maana nyuma ya hizo chuki hujui watu wanafanya kitu gani!! Mange aache huo upumbavu wake kupitia yeye watu wengi wanaumiaNifah mama huyu mpare labda asikusome maana daaa naogopa mdomo wake jaman,maana atakusanya data cjui wapi atakuchamba huyooooo
biashara ya Wema inahusikaje kwenye hii thread? Anzisha thread yako utangaze hii biashara kwenye matangazo madogo madogo.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, na hatuwezi kusema yanayofafana hata mara moja sawa mkuu,huo n mtazamo wangu na nnampaje kichwa?nmeongea kitu nnachokionaga akisema anakaa kimya den akirudi ujue anakuja kuyaanika ayajuayo yyNyi ndo mnae mpa bichwa...ifikie kipindi Mange aache hii tabia itaathiri hadi kizazi chake cha nne , ni hatari sana kwamba mtu unagombana na kila mtu ili uitwe bingwa maana nyuma ya hizo chuki hujui watu wanafanya kitu gani!! Mange aache huo upumbavu wake kupitia yeye watu wengi wanaumia
Anaboa kwakweli ukiondoa miugomvi yake Mange ana akili sana sijui mapungufu yake ndio hiyo kugombana na kila mtu aaah
Pole kama umekua offended na post yangu!! Ninachomaanisha hizi sifa mnazompa za kwamba anajua kulipua mabomu ndo zinamuharibu! Maana kikweli hili life alilochagua linampa stress hadi ye mwenyewe fikiria mpaka anatishiwa bastola mara kuwekewa vizuizi vya kusafiri ni jambo baya!Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake, na hatuwezi kusema yanayofafana hata mara moja sawa mkuu,huo n mtazamo wangu na nnampaje kichwa?nmeongea kitu nnachokionaga akisema anakaa kimya den akirudi ujue anakuja kuyaanika ayajuayo yy
ni yeyeTuacheni utani, huyo binti kwenye picha ndio huyo Mange mwenyewe au ni picha tu? Nifah please
Na inamgharimu kweli Shamimu msikie kwenye Tredio ni hafai kwa pfyyyy!Nyi ndo mnae mpa bichwa...ifikie kipindi Mange aache hii tabia itaathiri hadi kizazi chake cha nne , ni hatari sana kwamba mtu unagombana na kila mtu ili uitwe bingwa maana nyuma ya hizo chuki hujui watu wanafanya kitu gani!! Mange aache huo upumbavu wake kupitia yeye watu wengi wanaumia
Anaboa kwakweli ukiondoa miugomvi yake Mange ana akili sana sijui mapungufu yake ndio hiyo kugombana na kila mtu aaah