[emoji23] Nimerudije mpendwa
Nilikumiss pia!
NILIPATA JIBABU BILLIONEA[emoji28] I HAD TO ACT LIKE A MADAM KIDOGO ILI KWENDA NA KASI YA BABU[emoji23] (thubutuuuu!!! )
Well, fake identity muhumi atii... ubaya unakuja pale inapotokea visokorokwinyo wanapokufaham, watataka umwamba watu wote wakufahamu.
Mange alidhani watu wana shida ya Kumfahamu KP[emoji14] [emoji33] KP amekuwa kama shujaa machoni pa watu; amefanya jambo ambao watu wengi wametamani Ila wameshindwa[emoji28] kufanya,
Sasa Kumfahamu KP imekosa msisimko na comments chacheee.. Why?
Kwa kuwa watu hawana nia wala interest na KP wana interest na Habari za jinn kisirani Mange!! Kwan KP ndiye Alikuwa anajitapa yeye tajiri kuliko waswahili wote? Yeye ndio alichafua watu na kugombana na mamia? Yeye ndio alikua kinara wa kuchafua upinzan na sasa hivi raisi aliyepo madarakani?
Fake identity muhimuuuu....