Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Rohoo nzurii ila kwa Nduguyeee aitwae Bupee Roho yakee inayumbaa..mfano yy kawasaidia Watu wengi sana..ila huyoo Bupe Mtoto Wa shangazi ake ..akisema usimsaidie huyu..Hata kama reason ya kusaidia anaona Ana acha Na kusema ndugu yangu kanikataza..sasa unajiuliza mengiiii..amesoma kwani nini maamuzi akushikiee MTU????OK..hayoo Ni Maisha yakee ila Huyoo Mange mchafuu..naona Hata yy kamchokaa mbona kesi ta Obey alikuwa anahangaika mwenyewe..Na bi mkubwa the Boss alikuwepoo..nakwambiaa Huyoo Mange keshaishaaaSwetie umetiririka haswa, yule mama kweli ana roho nzuri sana na mchapa kazi kweli kweli, ila kumkaribisha Mange kwenye maisha yake ndio kuna mfanya aanikwe hivi, hakuwa na sababu ya kumkumbatia mange kila mahali mapicha eti my mother!? Haa ili iweje. Halaffu mie bado nasisitiza tu hata kama una elimu kiasi gani? Una roho nzuri kiasi gani? Ukikubali kuwa mchepuko huna tofauti na mchepuko mwingine wa manzese kina mwajuma ndala ndefu.
Mimi post za Lowassa nilikuwa sisomi kabisa baada ya kusoma moja ikaniimiza sana. Nikiona picha ya Lowasa nlikuwa naipita tu sisomiYani umenitonesha kidonda Nifah! Nimedevelop chuki kali sana kwa Mange sababu ya Lowassa, kile kipindi nlikua nalia sana Mange alizidisha kejeli jamani! nikimuona Lowassa kasimama jukwaani kwa upole bila jazba pamoja na kejeli zote baba wa watu asee i was crying!! Mange utapata shida sana wewe mwanamke ogopa mtu mkimya utaadhirika mdogo mdogo mwishoe ujiue!! Ulilipwa bilioni ngapi kumdhalilisha kiasi kile baba wa watu?
Kwa upumbavu wake alituvuna maadui wengi sana!!! Huwezi kumdhalilisha mtu mzima kiasi kile,.. Yani yule at the end of the day atarudishwa Tz moja kwa moja na kwenda kufungiwa milembeMimi post za Lowassa nilikuwa sisomi kabisa baada ya kusoma moja ikaniimiza sana. Nikiona picha ya Lowasa nlikuwa naipita tu sisomi
Hahahahahaaa wewe muache aendelee kuficha.Hii ishu naona inaukweli hasa nikikumbuka ile post yake ya kuomba ukuu wa wilaya kama replacement ya mama Malecela. Kwasababu hawezi kuja bongo kupiga mzigo na kumwacha shem mbele, japo hawezi kuupata labda utendaji kata...
Nifah bora umemnyoosha huyu dada asiejua kuishi na mashoga. Nilikua number 1 fan wa mashauzi yake ila alivyokua anamsema Lowassa nilimchukia kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu. Naona kaja kapanic hatari. Mwache aendelee kupanic ila dozi imemuingia.
Uwiiiiiiii kumbe alituumiza wengi hivi jamani?Mimi post za Lowassa nilikuwa sisomi kabisa baada ya kusoma moja ikaniimiza sana. Nikiona picha ya Lowasa nlikuwa naipita tu sisomi
Mimi nilishindwa kuvumilia nikamblast nikala block fasta. Toka kipindi cha kampeni nina kufuli kwa Mange. Na watakaompa cheo watakua hawana akili sawasawa. Kiongozi unafundisha wadada how to use their pussy kupata maisha. Baba Bhoke amchukue mwanae mapema maana hakuna mama wa kumfundisha maadili binti yake pale.Uwiiiiiiii kumbe alituumiza wengi hivi jamani?
Mimi nilim-unfollow insta nimerudi kumfollow juzi.
Na blog yake niliacha kuifuatilia kipindi cha kampeni hadi nilipokuja kusikia imekufa.
Mjue huyu mpuuzi alidhani kipindi kile kulivyokuwa na mgogoro CCM akataka kutumia as advantage kwa kumtukana Lowassa ili nae 'afikiriwe'
Wapiiiiiii,nani ampe cheo huyu mwendawazimu?
Sitokaa nimsamehe Mange kwa kumdhalilisha Lowassa, labda amuombe mzee msamaha hadharani,najua hawezi kuacha kumsamehe.Msamehe tu kama kitu ni kweli ni funzo kwake maana na mimi kipindi hicho ilikuwa ni vita
Hata wewe nifah mi nishasamehe maana unaambiwa kuwa na moyo mugumu ili adui yako aumbukeSitokaa nimsamehe Mange kwa kumdhalilisha Lowassa, labda amuombe mzee msamaha hadharani,najua hawezi kuacha kumsamehe.
Ndipo nami nitakapomsamehe.
Unajua wakati wa kampeni ndugu ni yule aliyekuwa upande wako lakini zaidi ya hapo aaaah niache Sasa maana mabadiliko ukawa ndiyo habari ya mjiniUmesamehe kwani nilikukosea nini?
Huo muda wa kusamehe wapuuzi sina,heri yako mwenye moyo safi.
Wewe nae hebu kaa mbali na mimi.nifah kwa sababu wewe mweupe au ubaya wake uko wapi kaa mbali na watoto wake au na wewe ni mhanga
✋✋✋ sina nia na ubaya tuliza mtimaWewe nae hebu kaa mbali na mimi.
Naona unanikomalia tu.
Nikiwa kwenye anga zangu usinichefue,soma au pita kimyakimya kama mazombi wenzio.