Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

hata sitaki tena jamani tunapotezeana muda
kuna siku nimeenda ubungo nilitumwa nikakuta jamaa kapanda kwenye machuma pale darajani eti anataka kujiua nilisubirije nione
masaa 2 mazima hata hakujirusha nilichukiaje
ndo ya kp sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miss una vitukoooo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,naamini ataweka tuvute tu subira.
Usikate tamaa.
Ripota wetu shunie atatuletea ubuyu ukiwa wa motroooo [emoji39][emoji39]
 
hhhhhhaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] alitishia kujamba!!!
 
hata sitaki tena jamani tunapotezeana muda
kuna siku nimeenda ubungo nilitumwa nikakuta jamaa kapanda kwenye machuma pale darajani eti anataka kujiua nilisubirije nione
masaa 2 mazima hata hakujirusha nilichukiaje
ndo ya kp sasa
[emoji28][emoji28][emoji28]usiniambie ulikuepo kwenye lile tukio eti anamlilia makonda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miss una vitukoooo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,naamini ataweka tuvute tu subira.
Usikate tamaa.
Ripota wetu shunie atatuletea ubuyu ukiwa wa motroooo [emoji39][emoji39]
Hahahhh mbona repoter
 
Miss umbea utakuua [emoji23][emoji23][emoji23]
niffah uliona hii kwa da zenat akimsifia jamaa wa facebook kula ugali kenya?
ohh sili sehemu chafu nakula only highend places. 5*hotels . mabwana zangu ndio wanipeleke huko.. njoo huwo ni ushamba na kuyajulia mambo ukubwani. kuna mawili ulivyokua mdogo hukuwahi kuwaza kuwa maisha yako utawahi enda five star or umekulia boarding school hujui what is outside life
huyo ndio bilionea na anakula zake safi ugali tena kwa mkono na ana uwezo wa kula hoteli yoyote duniani nimekubali wenje nacho hasa hawajushaui ila akina sie hapa tulozaliwa pembeni ya seredaniila mie sie. tunamashauzi ya kijinga halafu sumni huna mfukoni. kupelekwa dinner ukalishwa kinyama kilichoojaa damu kama kisimi kilotahiriwa siku nzima inst ni shida. na fashion show juu watu wanaonesha show. wenyewe wanajiona wajuaji kumbe ulimbukeni tu matajiri hawana mashauzi kimyaa hawatumii nguvu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuona hii uwiiiii nimecheka hapo kwa kinyama kilichojaa damu!
Da Zenat hafai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
ahahaa halafu ni kweli zile nyama anawekaga si unazijua?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuona hii uwiiiii nimecheka hapo kwa kinyama kilichojaa damu!
Da Zenat hafai [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom